Katika mahojiano na Ayo tv, Mh Mnyika anasema anatamani hukumu ingemuhusu aliyemuua Akwilina. Yawezekana ye anamfahamu. Lakini asichojua Mnyika ni kuwa kama serikali isingefanya inachotaka kukifanya leo dhidi yao, kina Akwilina wengi wangekufa. Ni kama ilivyotokea Arusha 2010 baada ya uchaguzi wa meya.
Asichojua Mnyika ni kuwa serikali hii inaongozwa na mtu makini, na ndio maana toka Magu aingie hatujasikia vifo vya waanadamanaji kama ilivyokuwa miaka iliyopita. Serikali hii inadeal na chanzo cha tatizo maana ingekuwa inashughulika na tatizo tu hadi sasa tungesikia vifo vingi.
Wao ni chanzo cha kifo cha Akwilina, wao ni chanzo cha vifo vya watu kule arusha na maeneo mengine nchini.
Sent using
Jamii Forums mobile app