Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Basi endeleeni kulalamika huku mitandaoni labda ndipo mtakapoikuta haki yenu imekaa inawasubiriUtamfungulia kesi muuaji aliyetumwa na jiwe? Kwa mahakama zipi? Hizi zinazoandikiwa hukumu hapo Magogoni?
ondoa shaka mkuu , viongozi wanajua watafungwa , tutashangaa ikiwa wataachiwa huruUkiona hivyo ujue kuna figisu figisu. Hii dalili sijaipenda
Hata mimi nitashangaa hukumu imeshapangwa kabisaondoa shaka mkuu , viongozi wanajua watafungwa , tutashangaa ikiwa wataachiwa huru
Acha wasome hukumu ila nimesisimkwa sana na kuna donge ghafla limenikamata kooni. Hata sielewi ni hasira, uchungu au kitu gani wallahVideo: Kamanda Mbowe akitinga ndani ya Mahakama, msisimko ni mkubwa sana
Na akiwafunga,dunia yote itamtukana magufuli na kutupa wakati mgumu Kama nchiWakiwasamehe hao serikali itakoma. Watamtukana Magufuli kila sehemu. Wote watajiona kama Mandela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na baba yako sio baba yetu.Hata kama ni chuki mkuu,punguza aina ya maneno ya kuyatumia dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi. Ni rais wetu,ni baba,babu. Achana na lugha zisizofaa hata kwa mtu usiyempenda. Kumbuka wote sisi ni binadamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisha kula mvua utajisikiaje?Liwe lisiwe lazima mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mvua itasaidia nini bwashee?!!!
Hayatakubalika kivipi? Mioyoni au nini kimeandaliwa kuonyesha hayakubaliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mangula anavyopumulia Oxygen wiki ya pili sasa. Ile nayo ni haki yake pia.Haki itatendaka tu kwani hata biblia imeandika tiini mamlaka na sheria. Wakila. Mvua za kutosha inaweza ikawarundisha na Wengine wasioheshimu mamlaka.