Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ikiwakuta na hatia utasikia, Mahakama haijatenda haki, imepokea maelekezo, isipowakuta na hatia utasikia Kibatala ni noma, Mawakili wa Serikali ni vilaza( hapa Mahakama haionekani Kama imetenda haki na waka haisifiwi) yaani nyie siku mkishika Dora wasiokubaliana na nyie mtawanterahamwe.
 
Video : Maalim Seif akiingia Mahakamani
 

Attachments

  • Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa na mshauri mkuu wa ACT Wazalendo Maalim Se ( 750 X 750 ).mp4
    6.7 MB
Nimekaa tangu juzi nikilitafakali suala la Dr mashinji kuhamia ccm wakat bado yupo kwenye kesi na wenzie wa chadema akili ya haraka imekuja kuna mchezo tulichezewa.

Yule mashinji alitumwa Ccm kwa ajili ya kuweka sawa huu mchezo mzima wa kesi, haya leo mashinji tupo nae huku unamfungeje mtu kama huyo bila hivyo tuwaachie wote.

Ndipo chadema walipotuzidi akili bila sisi kujua tukalivamia kuingiza watu chamani bila kuangalia mbali sasa leo ndio watajua kuwa chombo kipo huru au hakipo huru maana akichomolewa mashinji peke yake tayar topic ni nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako bado ndogo na hujatafakari vizuri, kwani inamaana ukiwa CCM haufungwi. Sheria ni msimeno..ukipeleka mbele inakata na ukirudisha nyuma inakata. Please note that!!!
 
Levels baby,
These hooligans have dead pan faces as weall know
They might as well acquit Mashinji and convict the rest
They have done it before
 
Back
Top Bottom