Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Tuambie mkuuUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie mkuuUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Unajua hawa CHADEMA ni mazuzu! Eti kwa vile ni kiongozi wa chama cha upinzani ukikosea usiguswe! Uliona wapi? Acha wawashikishe adabu!
No hata mie siasa tangu 2015, niliamua kutemana nayo, hata jukwaa La siasa hunikuti ni leo tu nimeingia kutokana na hii kesi,Mkuu Mimi ni mwananchi wa kawaida na kuanzia 2015 niliachana na huu upuuzi unaitwa siasa. Na humu ndani nakuja just for funny and every thing I write here is just for funny. Nyie mliowekeza huko kwenye siasa endeleni kupambana!
Tena huko ni kubet na amani na utulivu police kuwa makini ipo ICC
hawa waliopo nje wanapoteza muda kwanza ukiwatizama ni aina ya watu waajabu ajabu hv ambao kimsingi hata uhakika wa kumiliki nyumba ni mdogo mno...Kamata wote weka segerea, mtu unashndwa kufanya kazi za msingi upate kipate unaenda kubishana na POLISI, hakuna wake wala waume na watoto wa hao viongozi hapo mahakamani nyie ndio mnajifanya wafia chama....
TrueWewe ndo ZUZU na mpuuzi mkubwa....!!
Hivi Unajua chanzo Cha kesi hii?
Ilikuwa ni UCHAGUZI wa jimbo la Kinondoni baada ya Mbunge wa CDM kuhamia CCM! Siku 1 kabla ya UCHAGUZI msimamizi wa UCHAGUZI ALIKUWA hataki kutoa barua ya kuwatambua MAWAKALA WA CDM hivo CDM wakaamua kwenda kudai barua hiyo ndipo Polisi wakazuia kwa KUANZA KUPIGA RISASI na wakamwua Akwilina Acquline....!
Serikali ilikiri Polisi kuua na ilishiriki MAZISHI mwanzo mwisho na kuahidi KUMSOMESHA MDOGO wa marehemu...!
Sasa Kama Polisi ndo waliua Viongozi wa CHADEMA Wana kesi gani hapo Kama sio UONEVU NA UDIKTETA?
Bado hukumu inasomwa mkuuTuambie mkuu
Hahaha...mtafurahi!I swear nipo tayari kuvaa bomb [emoji378] kwa malipo Maalum,
Hii siasa hata mimi imeniathiri sana awamu hii
Mungu ibariki. CHADEMA na viongozi wakeBado hukumu inasomwa mkuu
Unasema hufatilii siasa eti you are here just for "funny" (its "fun" by the way). This thing is beyond your "funny". This is for the sake of the nation man. The future generations, democracy man. Do you comprehend anything?Huwezi kunielewa kwakuwa wewe ni mbumbumbu kwenye eneo hilo na akiri yako hutaki kuicha huru na kuifikirisha ikiwa katika huru. You just a die hard man, umewekeza kwenye siasa so, komaa huko ndipo ilipo kura yako, you have the right.
Nchi hii hatuna wanasiasa ila tuna wasaka utajiri kupitia siasa in both sides, so if you are one of them kama unaona hiyo njia unaiweza kuitumia kupata utajiri na kuwa mwananchi wa daraja la juu go through it. Lakini hakuna mtu yupo hapo kukufanya wewe mambo yako yanyoke.No hata mie siasa tangu 2015, niliamua kutemana nayo, hata jukwaa La siasa hunikuti ni leo tu nimeingia kutokana na hii kesi,
Mbowe Mungu akutangulie
Ndo mana inatakiwa chama tawala kitoke madarakani kiingie upinzani ili kuwe na challenges, maisha yatabadilika tuNchi hii hatuna wanasiasa ila tuna wasaka utajiri kupitia siasa in both sides, so if you are one of them kama unaona hiyo njia unaiweza kuitumia kupata utajiri na kuwa mwananchi wa daraja la juu go through it. Lakini hakuna mtu yupo hapo kukufanya wewe mambo yako yanyoke. Angalaia maisha wanayoishi wote kutoka vyama vyote compared na maisha ya Watanzania walio wengi. If they are real fighting for poor Tanzanian wasi gekubali kuishi maisha hayo ya juu on the cost ya Watanzania hao hao.
Tumsifu yesu kristooMwenyezi Mungu awabariki Viongozi wote wa Chadema, dhidi ya Watesi wao.
Achana nae huyo kashiba kiporo cha makande kwa dadake so hana habari na dunia hii