Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAFI
Naongelea uonezi unaofanywa dhidi ya upinzani na viongozi hawaamui wafuasi tufanyeje kwa uonezi huo.Mchumia Rungu,
Wanaifurahia kwa kuwa makosa yalikuwa makubwa. Hakimu angeweza kusema wafungwe jela na kulipa faini...Sasa hakimu ametoa option. Hi ni hukumu nzuri kwa maoni yangu kama layman wa sheria
Wewe unaweza nini ndugu?Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Kama sio ujinga ni nini? Unauliuzia fedha zisizo kuhusu?Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
About what?Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
Halafu eti kesho au keshokutwa utasikia kamuita Mh Mbowe Ikulu. Najua hawezi kumkatalia lkn ni aibu kubwa mno kwa hapa tulikofikia kama nchi moja.Naongelea uonezi unaofanywa dhidi ya upinzani na viongozi hawaamui wafuasi tufanyeje kwa uonezi huo.
Habari ya makosa makubwa unaitoa wapi kama unafahamu chimbuko la kesi hii? Nakerwa kwa ujumla na utawala wa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi analindwa kwa nguvu zote sababu anabeba dhamana ya nchi au kundi analoongoza. Kiongozi mzuri anakuwa ametoa nafsi yake kwa maslahi ya wanaoongozwa au nchi. Ndio maana kote duniani na katika historia, watu wametoa maisha yao kumlinda kiongozi wao.Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
Jinai haifutiki kwakuwa faini nayo ni adhabu kama ilivyo kifungo, so they are criminals mpaka hapo Mahakama za juu zitakaposema vinginevyo.Nimeleta uzi huu ili nipate michango ya wajuzi wa mambo ,
Hii ni baada ya hukumu ya viongozi wa chadema kutiwa hatiani leo hii hapa mahakama ya kisutu.
Najua watalipa faini ili kuepuka kifungo,je jinai itakuwa imefutika?ikizingatiwa tuna uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2020 October,,
Kwa anayejua lolote achangie maoni
Wakati alikuwa analialia kila siku hana pesa mpaka wazungu ndiyo wanamfadhiri nyinyi maneno tuui!Kiongozi analindwa kwa nguvu zote sababu anabeba dhamana ya nchi au kundi analoongoza. Kiongozi mzuri anakuwa ametoa nafsi yake kwa maslahi ya wanaoongozwa au nchi. Ndio maana kote duniani na katika historia, watu wametoa maisha yao kumlinda kiongozi wao.
Tundu Lissu amehatarisha maisha yake kwa kujitokeza kukosoa serikali ya kidhalimu na kikandamizaji kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Ndio maana watanzania kwa maelfu walijitokeza kumchangia. Uongozi bora ni janga, usilete mzaha hapa