Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

Nimependa sana mbinu hii: unamfukuza jamabazi kimya kimya huku ukimuelekeza kwenye mtego.....hakuna kelele lazima anase tu!
 
ila chadema aliyewaroga karukwa na akili.

unajua kitu serikali inafanya ni kumnyima kabisa lissu sababu ya kujitetea atakapoangukia uso.

wanavfyeka kabisa vichaka vya kiweka sura huko,asijeaema nimeshindwa sababu nilifanyia a,b,c.
 
Rais wa JMT!
Nimeweka screenshot ya utabiri wako, kabla jogoo hajawika mara tatu Octoba 2020 JPM kamanda wa vita, mbeba maono juu ya majanga yaliyopo na yajayo kuanzia corona hadi tetemeko atakuwa zake Ikulu mpya Dodoma
 
Uchaguzi ukiisha utasikia kuwa anakwenda kwenye matibabu .
 
Chadema imesema ikichukua madaraka haitaanza kulipiza visasi wala kudhulumu watu .
Chadema ni watu wema tofauti nna hizi mbuzi za ccm zimemuua Ben saanane
 
Nccr mageuzi tunasema ni jambo jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…