Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

Mtasubiri sana narudia huko kote mnakozunguka msidhani mtapata hizo.kura za wale wanaojaa mkutanoni,
Tarehe 30 uje upinge kama mtazidi kura milioni 2.
 
Safi sana,wamuache kwanza wasipate kisingizio.dawayake ichemke vizuri baada ya uchaguzi wamnyweshe.
 
Mwambieni Lissu November 6 sio mbali ana kesi za kujibu na akifanya mchezo tutamfunga akanyee debe.
Unacheza na akili kubwa ile wewe!!? Kuna judge wa kumfunga Lisu Tanzania hii? Hawa kuku wa jiwe weupe kichwani kama theluji.
 
Comrade wala usimjaze ujinga uyo Lissu akaleta dharau kuwa hakuna wa kumfunga. Na kwa jinsi alivyofanya kampeni kwa dharau na kejeli kwa number one sioni kama atachomoka salama. Si mnasema "mjomba" ni mtu wa visasi basi subiri muone Lissu anaenda kunyea debe.
 
Unamjua Robert Amsterdam ama unamsikia tu wewe???
 
Hata kwenye mikutano yake mlikuwa mnampa moyo kama hivi matokeo yake ameta kura mili. 1
Kwa kupika takwimu hata angeweza kuqndikiwa laki moja. Maana ni maamuzi ya waliopika. Wangehesabu kura waone
 
Mtasubiri sana narudia huko kote mnakozunguka msidhani mtapata hizo.kura za wale wanaojaa mkutanoni,
Tarehe 30 uje upinge kama mtazidi kura milioni 2.
kama ulikuwepo vile...kwa sauti ya Kingwendu!
 
Mwambieni Lissu November 6 sio mbali ana kesi za kujibu na akifanya mchezo tutamfunga akanyee debe.
Kumbe ijumaa eeee..... amstadam anafika lini😁😁😁😁
Maana kesi inasikilizwa Tanzania alikosema kuna mawakili na majudge waiojua kingereza tehetehe
 
Back
Top Bottom