Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Wapi wanafuga majini huko mahakamani hizo pesa wangewakopesha wananchi wajiendelezeDaima tabia ya kuiga huwezi fika nayo mbali na moto wa mabua haukawii kuzima , siku hizi ni mahakama ya wapinzani na si mafisadi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisadi woooote wapo CCM na NI wamoja si rostam so luwasa so mzee meko[emoji15][emoji15]Fisadi mzalendo kachemsha na mahakama yake ya mafisadi imebaki hadithi tu atampeleka nani amwache nani ?
Wacha kelele wewe Sasa huyu anayesema anapambana na ufisadi akaweka mahakama ambayo haina kazi alimaanisha Nini basi kwa maana fupi tz HAKUNA mafisadi Wala mapambano yoyote no uonevu tu inaoendelea...... Kwanza mafisadi kina pengo tibsijuka change wapo kitaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] HAKUNA mapambano na mahakama haina kazi [emoji15][emoji15][emoji15] PERIODHii Mahakama jina lake rasmi ni Mahakama Kuu, Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, yaani Corruption and Organized Crime Division. Ni moja ya division za Mahakama Kuu. Division nyingine za Mahakama Kuu ni High Court Land Division, Labour, na Commercial.
Mwenye mamlaka ya kuamua ni kesi ipi inafaa kwenda division ipi ni DPP. Na anaamua kwa kuzingatia sheria na vigezo vya kikanuni.
Usiniulize kwani Kisutu ni Mahakama Kuu.
Ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, huwa ina exercise extended jurisdiction yaani, Hakimu Mkazi anapewa mamlaka ya kuwa Jaji na Mahakama ya Hakimu Mkazi inakuwa na hadhi ya Mahakama Kuu, na hivyo kuamua kesi za Mahakama Kuu. Na hata mtu akikata rufaa kutokana na hukumu hiyo, rufaa inaenda Mahakama ya Rufaa.
Mwanasheria ndiye atanielewa zaidi
Wacha kelele wewe Sasa huyu anayesema anapambana na ufisadi akaweka mahakama ambayo haina kazi alimaanisha Nini basi kwa maana fupi tz HAKUNA mafisadi Wala mapambano yoyote no uonevu tu inaoendelea...... Kwanza mafisadi kina pengo tibsijuka change wapo kitaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] HAKUNA mapambano na mahakama haina kazi [emoji15][emoji15][emoji15] PERIOD
Sent using Jamii Forums mobile app
Tudagaa tuMahakama ya Mafisadi ipo, na jengo lake lipo nyuma ya ofisi za TCRA, na ndani ya geti la Law School. Kila siku watuhumiwa wanaletwa hapa na majaji wanakuja. Acheni kusambaza uongo eti hii mahakama haifanyi kazi
Mahakama ya Mafisadi ipo, na jengo lake lipo nyuma ya ofisi za TCRA, na ndani ya geti la Law School. Kila siku watuhumiwa wanaletwa hapa na majaji wanakuja. Acheni kusambaza uongo eti hii mahakama haifanyi kazi
Kwahiyo huko mahakama ya mafisadi waandishi wa habari hakuna ,mana kwengine kesi zote tunaona kwenye tv,acha fiksi aikambe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama wangekuwepo, siyo kila kesi inaripotiwa.
Kwani hizo za Kisutu na kwingine zimeripotiwa?
Ss mkuu ndo kusema umekosa hoja mpk unataka nianze na kutaja majengo ya mahakama?daah kwel tuna safar ndefu sana kutoka hapa tulipoUnafahamu hata jengo la hiyo court lipo wap au mnabwatuka tu
Ss mkuu ndo kusema umekosa hoja mpk unataka nianze na kutaja majengo ya mahakama?daah kwel tuna safar ndefu sana kutoka hapa tulipo
Yaani mtu mmeshindwa kuthibitisha mahakamaani kosa lake la kuhujumu uchumi kwa zaidi ya miaka 3,Tunazihitaji sana hizo hela za mafisadi ili tuendelezee ujenzi wa standard gauge na stiglers gorge! Hela tulizositisha, za kuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara wafanyakazi, hazitoshi!
Mahakama ya Ufisadi ilianza rasmi ikiwa ni jitihada za serikali ya awamu ya 5 kupambana na ufisadi nchini. Uazishwaji wa mahakama husika, uliambatana na uwepo wa kesi nyingi za uhujumu uchumi ikiwa ni uwepo wa wateja wa mahakama hiyo.
Wingi wa kesi hizo zikiwa bado katika hatua za mwanzo mahakamani Kisutu, jana limekuja wazo la kushauri uwezekano wa kusamehe watuhumiwa iwapo wataungama makosa na kuwepo uwezekano wa kulipa fedha kulingana na kiwango cha ufisadi.
Magwiji wa sheria naombeni mtujuze juu ya uwepo wa mahakama ya ufisadi iwapo kila mtuhumiwa ataamua kuungama na kuahidi kulipa kiasi cha fedha aliyofisadi.