Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Mnafiki tu wewe.
 
Tlaaahtlaah katika Moja na mbili!
 
Na wewe una familia kabisaaa....., inakutegemeaa?
 
Afrika yanabishana nini sijui,kesi blah blah kila siku nenda rudi mahakamani,
Sijui ni mtindio wa ubongo au.
Mnachoma mafuta na kuunguza muda kumsikiliza huyo mwehu wa sheria. ameacha majukumu yake ya Chama kwa kupenda mwenyewe abaki huko mahabusu tu anaona raha kupewa escort na maaskari magereza kama sifa vile.
 
Mahakama zinakubalije kumsotesha mtu kwa karne hii na zama hizi???? Hivi wao wamewahi kukaa hata masaa 24Tu mahabusu?? Kwa nini waamua haki wawe mikono ya kusotesha na kutesa roho za Mungu kwa mambo ya wazi yasiyo hatia??? Yaani yanatesa wote wakamataji, walinzi, walinzi, mawakili, madereva, mahakimu na majaji, familia, jumuia na serikali za ndani na nje, wafuasi nk. MAHAKAMA ISISAJIRI KESI KAMA HIZO. KWANI KESI ZOTE LAZIMA AZIKUBALI NA KUZISAJIRI???
 
Sawa mkuu ila usiangalie upepo
Nadhani CW inahusuka na makala zako 😁😁😁😁😁😁😁
 
Nitamshangaa sana dpp na majaji wanaosikiliza kesi ya Lissu wakikaza fuvu na kuendelea na kesi maana watazidi kuuonyesha utupu wa akili zao na mwisho watadharaulika mbele ya jamii inayowazunguka mtaaani kwao. Kifupi, hawataaminika tena mbele ya jamii.
 
Na wewe una familia kabisaaa....., inakutegemeaa?
sio familia tu gentleman,
natumikia taifa na waTanzania wengine wote ikiwa ni pamoja na wenye mihemko nonsense kama yako.

In fact,
ni mTanzania, na ndivyo ulivyo useless, itabidi nikutumikie walau upate tiba bora ya kurekebisha saikolojikali yako useless 🐒
 
Mh lissu ni jiniasi kwenye sheria binafsi hii kesi yake imenifundisha mambo mengi sana

Mh lissu ni mwamba na jabari la siasa harakati na sheria!
Apewe kesi nyingine tuendelee kutazama movie ...ya Jiniaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…