Mahakama ya Tanzania ni mhimili unaosimamia uvunjwaji wa Haki za Binadamu nchini....

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria,
Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia
misingi kwamba:

(a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au chombo
kinginecho kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu, na pia haki ya kukata rufaa au kupata nafuu nyingine ya kisheria kutokana na maamuzi ya mahakama au chombo hicho kingenecho kinachohusika;

(b) ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai
kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa
hilo;

(c) ni marufuku kwa mtu kuadhibiwa kwa sababu ya kitendo chohote ambacho alipokitenda hakikuwa ni
kosa chini ya sheria, na pia kwamba ni marufuku kwa
adhabu kutolewa ambayo ni kubwa kuliko adhabu
iliyokuwapo wakati kosa linalohusika lilipotendwa;

(d) kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya
jinai na katika shughuli nyinginezo ambazo mtu anakuwa chini ya ulinzi bila uhuru, au katika

kuhakikisha utekelezaji wa adhabu;

(e) ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtweza au kumdhalilisha

ZINGATIO
Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendesha shughuli zake kwa uzingativu wa Katiba ipi? Swali hili haliwahusu polisi kwa sababu wamejionesha kwa vitendo zaidi katika kuipuuza Katiba ya nchi. Msingi wao ni kutii amri wanazopewa na ccm hata kama zinakiuka katiba.

Mahakama ambayo inaendeshwa kwa kodi zetu, imekuwa ikionesha wazi bila kificho kuipuuza Katiba ya nchi hususan linapoluja suala la Haki za Binadamu pale mtuhumiwa anaponyakuliwa/ kutekwa nyara na vyombo vya dola.

Suala la utekwaji nyara akina Soka na wenzake mahakama imetoa kinga ya kisheria kws jeshi la polisi ambapo watekwa nyara walipochukuliwa na polisi na kuwazuia. Mahakama ilisema hawapo katika vituo vya polisi ingawa ushahidi kuwa waliitwa polisi ulikuwa wazi na hakuna namna inayoweza kufanikisha upatikanaji wao.

Mahakama, imeendelea kuzuia dhamana ya kijana Kombo wa Tanga kwa kosa linalofhaminika. Hukumu hiyo imetolewa bila hata kesi ya msingi kuanza kusikilizwa dhidi ya kijana huyo.

Matumizi ya mahakama kulinda maslahi ya CCM yamekuwa bayana bila kificho wala aibu. Jaji Mkuu amebariki hilo ndiyo maana hajawahi kukemea ukiukwaji wa Haki za watu wanaotuhumiwa kwa makosa yanayohusiana na siasa.

Mwabukusi, Mdude_Nyagali na W. Slaa walikamatwa kwa amri ya IGP akiwatuhumu kwa kesi ya uhaini kwa sababu walipinga wazi wazi mkataba wa DP World. Tena walikamatwa baada ya kesi yao kupinga utaratibu wa mkataba ule. Mahakama ilishajiandaa kuwahukumu kwa kesi ya uhaini kama ilivyofanya kwa Mbowe. Amri ya kutengua maamuzi ama mwenendo wa kesi zinazoendelea hutoka JUU ndo maana tunasema kuwa nchi inapita kwenye giza na bonde la mauti.

Hitimisho
Mamlaka ya nchi haitoki tena kws Wananchi bali kutoka kwa vyombo vya usalama na Mahakama. Kama siyo kweli, njoo na hoja ya kupinga uhalisia huu
 
Naunga mkono hoja
nimeendesha humu makala 5 mfululizo za kilio cha haki
P
 
Hatuna Mahakama, tuna kamati ya CCM inayotafsiri sheria kulingana na matakwa ya CCM.
Hivyo hivyo hatuna Bunge, tuna kamati ya CCM inayotunga sheria kulingana na matakwa ya CCM.
Kwa kifupi taifa halina Katiba, lina makaratasi tu kama alivyowahi kudai Mwenyekiti wa CCM.
 
Tuwekee link mkuu.
Kilio cha haki hakitokoma hadi jamii husika ijisafishe.

Tuna watendaji wa ajabu sana ndani ya Mahakama zetu. Wanatoa maamuzi kulingana na matakwa ya watawala
Nimejitolea kuendesha sana elimu ya haki sio tuu kwa public,lakini pia kwa viongozi wetu, kuna vitu Tanzania tunalaaniwa kwa vitu vidogo vidogo vya ukiukwaji wa haki unaosababisha umwagaji wa machozi,jasho na damu, anayelipa fidia sio wale watekelezaji tuu wa udhalimu unaofanyika, bali hata mwenye dhamana!
Alipouawa Mzee Kibao niliandika Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Tukawastua wasaidizi wake wamuelimishe Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

ilipotokea ile ghafla ya mara tii。。。 mtu kachomoka!, wengi walishangaa, na kujiuliza sababu why?, sisi wa jicho la tatu pia tulishitushwa ila tulijua sababu ni karma za machozi,jasho na damu za watu wasio na hatia, hivyo kumshauri aliyepo akiweza kuepuka visabavishi vya bad karma aviepuke vinginevyo。。。!。

Umetimiza wajibu muhimu sana.

Wasimamizi wa sheria na utoaji haki nao wameunga mkono azimio ama kusudio dhalili la wenye dhamana dhidi ya wananchi
 
Kwenye kila idara kuna watu wema na waovu.
Mahakamani kuna watu wanapata haki na kuna watu wanakosa haki hukohuko mahakamani!!
Pamoja na shida za mifumo na utawala kuna haja ya kuangalia aina za watu wanaoajiriwa, je, ni wenye kutoa haki???
Safari ya kujikomboa kifikra inapaswa kuanza na mtu mmoja mmoja then jamii nzima hatimaye Taifa.
 
Nimejitolea kuendesha sana elimu ya haki sio tuu kwa public,lakini pia kwa viongozi wetu, kuna vitu Tanzania tunalaaniwa kwa vitu vidogo vidogo vya ukiukwaji wa haki unaosababisha umwagaji wa machozi,jasho na damu, anayelipa fidia sio wale watekelezaji tuu wa udhalimu unaofanyika, bali hata mwenye dhamana!
Alipouawa Mzee Kibao niliandika Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Tukawastua wasaidizi wake wamuelimishe Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

ilipotokea ile ghafla ya mara tii。。。 mtu kachomoka!, wengi walishangaa, na kujiuliza sababu why?, sisi wa jicho la tatu pia tulishitushwa ila tulijua sababu ni karma za machozi,jasho na damu za watu wasio na hatia, hivyo kumshauri aliyepo akiweza kuepuka visabavishi vya bad karma aviepuke vinginevyo。。。!。

P
Mkuu Pascal Mayalla,
I salute you with due respect
As the learned counsel of the HC and senior journalist, I always second your immense commitment and accountability in transferring soft skills endeavors to ensure the laymen in legal aspects and constitutional supremacy understand their rights and unequivocally have them, practice them, and take pride in them.

I seldom back up your opinion when, at times, you decide to adapt and start ushering accolades to the sitting regime, knowing it is badly delivering on all fronts.

It is my hearted feeling to advise you to isolate yourself from bravery deception to avoid getting politically stained from hostility affront.

I sincerely admire your logical reasoning when presenting your ideas with constructive optimism, I bet you deserve a seat to harness the swerving administration.
 
Kweli hoja inamashiko, watu wengi wamejitolea kutoa elimu kama Mr. Pascal, lakini NI kama unampigia mbuzi gitaa.
IFIKE MAHALI WATZ TUTAMBUE HATMA YA YOTE HAYA NI YETU SISI WAATHIRIKA TUWALAZIMISHE WATU WASIOTAKA MABADILIKO YA MIFUMO YETU YA UTAWALA TUWACHUKIE, TUWAKATAE TUWACHUKULIE HATUA Vinginevyo tuweke HATMA ya kila atakaye kaidi afungwe maisha kwa ushahidi WA wazi vitendo alivyofanya na hukumu yake ifanyike ndani ya wiki Moja tuu.
Mawasilisha.
 
Tatizo la Mahakama limekuwa kubwa baada ya kuingia kwa kada ya wasaidizi wa majaji. Majaji wengi hawaandiki hukumu, zinaandikwa na very junior judicial officers, ambao, kama ni rufaa, wanatengua hukumu ya the most senior person to them.

Sasa hivi hukumu za mahakama kuu hazina taste. Unaweza kusoma hukumu ya mahakama ya chini ukaiona imeshiba, na ina mantiki kuliko hukumu za High Court.

Pia wasaidizi wa majaji wanakimbizana kusaka rushwa. Wana mishahara kidogo, hawana allowance inayofanana na wanaowasaidia, ni kama wamewekwa chini ya uangalizi tu. Ili kurudisha nidhamu, hii kada iondolewe.

Jaji mwenyewe ajipinde, atoe uamuzi. Haiwezekani Samia akuteue, akulipe mamilioni, halafu kazi afanye mwingine, kazi very substandard
 
Kweli hoja inamashiko, watu wengi wamejitolea kutoa elimu kama Mr. Pascal, lakini NI kama unampigia mbuzi gitaa.
IFIKE MAHALI WATZ TUTAMBUE HATMA YA YOTE HAYA NI YETU SISI WAATHIRIKA TUWALAZIMISHE WATU WASIOTAKA MABADILIKO YA MIFUMO YETU YA UTAWALA TUWACHUKIE, TUWAKATAE TUWACHUKULIE HATUA Vinginevyo tuweke HATMA ya kila atakaye kaidi afungwe maisha kwa ushahidi WA wazi vitendo alivyofanya na hukumu yake ifanyike ndani ya wiki Moja tuu.
Mawasilisha.
Bila kujali upolisi au cheo chake, ili hawa wanatoa maagizo kutoka juu wakose WA kuwatuma kuja kuumiza watz
 
Jaji Mkuu Ibrahim Juma ni fisadi wa haki nchini!
 
Mkuu Pascal Mayalla,
I salute you with due respect
As the learned counsel of the HC and senior journalist, I always second your immense commitment and accountability in transferring soft skills endeavors to ensure the laymen in legal aspects and constitutional supremacy understand their rights and unequivocally have them, practice them, and take pride in them.

I seldom back up your opinion when, at times, you decide to adapt and start ushering accolades to the sitting regime, knowing it is badly delivering on all fronts.

It is my hearted feeling to advise you to isolate yourself from bravery deception to avoid getting politically stained from hostility affront.

I sincerely admire your logical reasoning when presenting your ideas with constructive optimism, I bet you deserve a seat to harness the swerving administration.
Mr. Pascal was born to save the mojarity and not minority. He is more comfortable in what is doing,rather being an administrator. Keep it up bro, l real appreciated your work.
 
Mkuu Pascal Mayalla,
I salute you with due respect
As the learned counsel of the HC and senior journalist, I always second your immense commitment and accountability in transferring soft skills endeavors to ensure the laymen in legal aspects and constitutional supremacy understand their rights and unequivocally have them, practice them, and take pride in them.

I seldom back up your opinion when, at times, you decide to adapt and start ushering accolades to the sitting regime, knowing it is badly delivering on all fronts.

It is my hearted feeling to advise you to isolate yourself from bravery deception to avoid getting politically stained from hostility affront.

I sincerely admire your logical reasoning when presenting your ideas with constructive optimism, I bet you deserve a seat to harness the swerving administration.
Well elaborated opinion and endorsement
 
Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria,
Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia
misingi kwamba:

(a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au chombo
kinginecho kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu, na pia haki ya kukata rufaa au kupata nafuu nyingine ya kisheria kutokana na maamuzi ya mahakama au chombo hicho kingenecho kinachohusika;

(b) ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai
kutendewa kama mtu mwenye kosa hilo mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa
hilo;

(c) ni marufuku kwa mtu kuadhibiwa kwa sababu ya kitendo chohote ambacho alipokitenda hakikuwa ni
kosa chini ya sheria, na pia kwamba ni marufuku kwa
adhabu kutolewa ambayo ni kubwa kuliko adhabu
iliyokuwapo wakati kosa linalohusika lilipotendwa;

(d) kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya
jinai na katika shughuli nyinginezo ambazo mtu anakuwa chini ya ulinzi bila uhuru, au katika

kuhakikisha utekelezaji wa adhabu;

(e) ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtweza au kumdhalilisha

ZINGATIO
Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendesha shughuli zake kwa uzingativu wa Katiba ipi? Swali hili haliwahusu polisi kwa sababu wamejionesha kwa vitendo zaidi katika kuipuuza Katiba ya nchi. Msingi wao ni kutii amri wanazopewa na ccm hata kama zinakiuka katiba.

Mahakama ambayo inaendeshwa kwa kodi zetu, imekuwa ikionesha wazi bila kificho kuipuuza Katiba ya nchi hususan linapoluja suala la Haki za Binadamu pale mtuhumiwa anaponyakuliwa/ kutekwa nyara na vyombo vya dola.

Suala la utekwaji nyara akina Soka na wenzake mahakama imetoa kinga ya kisheria kws jeshi la polisi ambapo watekwa nyara walipochukuliwa na polisi na kuwazuia. Mahakama ilisema hawapo katika vituo vya polisi ingawa ushahidi kuwa waliitwa polisi ulikuwa wazi na hakuna namna inayoweza kufanikisha upatikanaji wao.

Mahakama, imeendelea kuzuia dhamana ya kijana Kombo wa Tanga kwa kosa linalofhaminika. Hukumu hiyo imetolewa bila hata kesi ya msingi kuanza kusikilizwa dhidi ya kijana huyo.

Matumizi ya mahakama kulinda maslahi ya CCM yamekuwa bayana bila kificho wala aibu. Jaji Mkuu amebariki hilo ndiyo maana hajawahi kukemea ukiukwaji wa Haki za watu wanaotuhumiwa kwa makosa yanayohusiana na siasa.

Mwabukusi, Mdude_Nyagali na W. Slaa walikamatwa kwa amri ya IGP akiwatuhumu kwa kesi ya uhaini kwa sababu walipinga wazi wazi mkataba wa DP World. Tena walikamatwa baada ya kesi yao kupinga utaratibu wa mkataba ule. Mahakama ilishajiandaa kuwahukumu kwa kesi ya uhaini kama ilivyofanya kwa Mbowe. Amri ya kutengua maamuzi ama mwenendo wa kesi zinazoendelea hutoka JUU ndo maana tunasema kuwa nchi inapita kwenye giza na bonde la mauti.

Hitimisho
Mamlaka ya nchi haitoki tena kws Wananchi bali kutoka kwa vyombo vya usalama na Mahakama. Kama siyo kweli, njoo na hoja ya kupinga uhalisia huu
Aksante mkuu madini adimu sana, watu kama yule MNDALI NMNAFIKI hawawezi kichangia hapa mada inamzidi akili na uwezo wa kufikiri.

Ingekuwa mada za kumsifia kaja zamani sana.

Ubarikiwe sana mkuu kwa andiko zuri, aksante pia Paskal Mayala kwa kutukumbusha.
🙏🙏👍
 
Back
Top Bottom