Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahakama zinaongoza kwa rushwa, ni aibu sana imewahi nikuta. Hao wanaoitwa waheshimiwa na makarani wao wana njaa hatari. wape fungu la 10 mambo yaishe.Mahakama ya wilaya ya temeke ina wafanyakazi wa ajabu sana.
Tumekamilisha taratibu zote za mirathi za mzee wetu.
Bank alizokuwa anatumia marehemu, mifuko ya hifadhi ya jamii psssf na mobile money zote zimetuma pesa kwenda kwenye account ya mahakama toka october 2021
Barua ya mchanganuo wa mgao wa mirathi imepelekwa toka November mwanzoni. Na taratibu zote za zikafanyika kama kujaza vendor form na nyaraka za kibenk za warithi wa marehemu.
Ila mpaka leo mahakama haijawalipa hao warithi.
Msimamizi wa mirathi akienda kufatilia anaambiwa subiri. Kuna wafanyakazi wa idara ya uhasibu wamepatwa na msiba wa wazazi wao. Ukaguzi bado hawajaumaliza.
Siku nyingine wakienda wanaambiwa December kuna sikukuu nyingi sasa walipaji hawakuwa kazini.
Akienda kuulizia tena anaambiwa mlipaji ameenda likizo fupi.
Miezi zaidi ya miwili ni longo longo tu
Kweli mfanyakazi akipata msiba na ofisi yake mahakamani inasimama kufanya kazi zake mpaka arudi ?
mahakama zinaongoza kwa rushwa, ni aibu sana imewahi nikuta. Hao wanaoitwa waheshimiwa na makarani wao wana njaa hatari. wape fungu la 10 mambo yaishe.
Mafao ya wafanya kazi wa chini wambao ni watendaji yako chini hayana tofauti na ya waalimu au manesi, bila kuhongwa pale kazi iendi ndo watuzaji wa mafaili yenye kesi za mamilioni, walipa cha kwao wa kuhudumie tu.Kutoa rushwa ni kuondoa tatizo ama kuongeza tatizo.
Kiukweli wafanyakazi wa mahakama wanaifanya mahakama ionekane ni sehemu ya ovyo sana. Usumbufu mwingi sana
Mafao ya wafanya kazi wa chini wambao ni watendaji yako chini hayana tofauti na ya waalimu au manesi, bila kuhongwa pale kazi iendi ndo watuzaji wa mafaili yenye kesi za mamilioni, walipa cha kwao wa kuhudumie tu.
Hapo unazungushwa ili ujiongeze yani hamna namna ingine😅
Wewe unaishi nchi acha kukalili vitu, neenda tu hospitali na mgonjwa maututi anae takiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka ndo uanze kueleza hivo, baada ya mazishi yake ndo utajua nchi hi vizuri.Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa kisheria.
Na je tusipokemea hizi rushwa zitaisha vipi?
Wewe unaishi nchi acha kukalili vitu, neenda tu hospitali na mgonjwa maututi anae takiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka ndo uanze kueleza hivo, baada ya mazishi yake ndo utajua nchi hi vizuri.
mahakama zinaongoza kwa rushwa, ni aibu sana imewahi nikuta. Hao wanaoitwa waheshimiwa na makarani wao wana njaa hatari. wape fungu la 10 mambo yaishe.
Hii kitu ishanikuta, miezi minne kuzungushwa baada ya taratibu kukamilika, nikawapa 300k asubuhi mchana mzigo unaingia, mkono mtupu haulambwi
Hao mbweha mikoani washaona ni haki yao kupewa chochote kitu bila hivo hawalipi, stupid embicels!Poleni sana...
Wanataka pesa hao...
Hilo linajulikana. Nachoshangaa kuna watu wanawasapoti kabisa humu kwamba wape pesa kama rushwa ni jambo zuri vile
Hii kitu ishanikuta, miezi minne kuzungushwa baada ya taratibu kukamilika, nikawapa 300k asubuhi mchana mzigo unaingia, mkono mtupu haulambwi
Hao mbweha mikoani washaona ni haki yao kupewa chochote kitu bila hivo hawalipi, stupid embicels!
Hizo hela anakula mpk hakimu nna uhakikaWasilisha malalamiko yako kwa Msajili wa Mahakama au kwa in charge wao hapo Mahakama ya TMK ulizia Senior Magistrate In charge wa hiyo mahakama halafu muelezee tatizo atamaliza faster.
Hakuna Hakimu au Jaji anasumbua Ila kuna watu wanaitwa makarani, hao wahadibu na Court Brokers hao ndio wanaichafua taswira ya Mahakama yetu tukufu. At least naweza kusema katika mihimili mitatu ya Dola, basi huu mhimili wa Mahakama umesimama vizuri na maboresho ni mengi wamejitahidi kuondoa makanjanja na kuweka wasomi wanaofuata misingi ya haki.
Mahakama ya wilaya ya temeke ina wafanyakazi wa ajabu sana.
Tumekamilisha taratibu zote za mirathi za mzee wetu.
Bank alizokuwa anatumia marehemu, mifuko ya hifadhi ya jamii psssf na mobile money zote zimetuma pesa kwenda kwenye account ya mahakama toka october 2021
Barua ya mchanganuo wa mgao wa mirathi imepelekwa toka November mwanzoni. Na taratibu zote za zikafanyika kama kujaza vendor form na nyaraka za kibenk za warithi wa marehemu.
Ila mpaka leo mahakama haijawalipa hao warithi.
Msimamizi wa mirathi akienda kufatilia anaambiwa subiri. Kuna wafanyakazi wa idara ya uhasibu wamepatwa na msiba wa wazazi wao. Ukaguzi bado hawajaumaliza.
Siku nyingine wakienda wanaambiwa December kuna sikukuu nyingi sasa walipaji hawakuwa kazini.
Akienda kuulizia tena anaambiwa mlipaji ameenda likizo fupi.
Miezi zaidi ya miwili ni longo longo tu
Kweli mfanyakazi akipata msiba na ofisi yake mahakamani inasimama kufanya kazi zake mpaka arudi ?
Dah wewe miezi miwili tu umechokaMahakama ya wilaya ya temeke ina wafanyakazi wa ajabu sana.