Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

Wasilisha malalamiko yako kwa Msajili wa Mahakama au kwa in charge wao hapo Mahakama ya TMK ulizia Senior Magistrate In charge wa hiyo mahakama halafu muelezee tatizo atamaliza faster.

Hakuna Hakimu au Jaji anasumbua Ila kuna watu wanaitwa makarani, hao wahadibu na Court Brokers hao ndio wanaichafua taswira ya Mahakama yetu tukufu. At least naweza kusema katika mihimili mitatu ya Dola, basi huu mhimili wa Mahakama umesimama vizuri na maboresho ni mengi wamejitahidi kuondoa makanjanja na kuweka wasomi wanaofuata misingi ya haki.
 
mahakama zinaongoza kwa rushwa, ni aibu sana imewahi nikuta. Hao wanaoitwa waheshimiwa na makarani wao wana njaa hatari. wape fungu la 10 mambo yaishe.
 
Kutoa rushwa ni kuondoa tatizo ama kuongeza tatizo.

Kiukweli wafanyakazi wa mahakama wanaifanya mahakama ionekane ni sehemu ya ovyo sana. Usumbufu mwingi sana
 
Mafao ya wafanya kazi wa chini wambao ni watendaji yako chini hayana tofauti na ya waalimu au manesi, bila kuhongwa pale kazi iendi ndo watuzaji wa mafaili yenye kesi za mamilioni, walipa cha kwao wa kuhudumie tu.
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa kisheria.

Na je tusipokemea hizi rushwa zitaisha vipi?
 
Wewe unaishi nchi acha kukalili vitu, neenda tu hospitali na mgonjwa maututi anae takiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka ndo uanze kueleza hivo, baada ya mazishi yake ndo utajua nchi hi vizuri.
 
Kwa hiyo kuijua hii nchi ni kutoa rushwa mahakamani ili upewe haki yako?

Kila mtu akiwa anatoa rushwa , vita dhidi ya rushwa itapiganwaje?
 
Wazee Wa Mahakama Mmetajwa Huku Kwa Njaa Jirekebisheni
mahakama zinaongoza kwa rushwa, ni aibu sana imewahi nikuta. Hao wanaoitwa waheshimiwa na makarani wao wana njaa hatari. wape fungu la 10 mambo yaishe.
 
Hii kitu ishanikuta, miezi minne kuzungushwa baada ya taratibu kukamilika, nikawapa 300k asubuhi mchana mzigo unaingia, mkono mtupu haulambwi

Hao mbweha mikoani washaona ni haki yao kupewa chochote kitu bila hivo hawalipi, stupid embicels!
 
Ilikuwa ni mahakama gani?
 
Hizo hela anakula mpk hakimu nna uhakika
 
Itisha press conference mbele ya ofisi yao uzungumzie hilo swala.. kesho yake asubuhi utalipwa mpunga wako…
 
sheikh mkono mtupu haulambwi.

Hao ni mbuzi wanaofata maelekezo ya kula kwa kamba.
 
Dah wewe miezi miwili tu umechoka

Kuna watu wana miaka miwili Sasa Bado hawapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…