Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

So kwa miaka 5 alikua anamridhishaje mkewe? Mm siamini huo upuuzi! Kuna kitu hapo. Au mwanamke aliangalia mali na kumvumilia jamaa ili aje achukue mali?

Wanaume mmeona hawa viumbe walivyokaa kitapeli?
 
Ndoa ya Kikristo (specifically RC dini yangu) inakamilika kwa tendo la ndoa, kama halijafanyika hiyo ndoa ni batili, hayo husemwa live kwenye semina za ndoa.
Hakukuwa na haja hata ya kusubili miaka 5
 
So kwa miaka 5 alikua anamridhishaje mkewe? Mm siamini huo upuuzi! Kuna kitu hapo. Au mwanamke aliangalia mali na kumvumilia jamaa ili aje achukue mali?

Wanaume mmeona hawa viumbe walivyokaa kitapeli?

Hukumu imewekwa juu ya uzi. Soma hukumu ndipo utaelewa walianza kutengana lini na ndoa imevunjwa lini
 
Kwann avute goma kama chombo haisomi 5g?

Kwann waanike aibu zao

Vendetta at play
 
Mjegeje Ulikosa Risasi Imekuwa Tafrani Sasa
Kwanini Mke Asijiongeze Waishi
 
Hoja ya kwamba kapotezewa muda wake fertility ni ya kipumbavu kabisa! tangu aanze kuwa fertile na muda aliokaa kwenye ndoa upi ni mwingi? amesuburia mwenyewe jua limeanza kuzama ndo katafuta ndoa halafu anaenda kuleta hoja za kijinga.

Kwa upande mwengine, kama mwanaume hana uwezo wa kumuingilia mwanamke kwanini alioa? na yeye mwanamke kwanini alivumilia miaka mitano yote? kimsingi hapo hata hiyo ndoa yenywewe haijatimia kwanza, kwasababu (if I recall correctly) both uislamu na ukristo unatambua kukamilika kwa ndoa ni baada ya Mume kumuingilia mke wake. Kwa upande wa uislamu huyo mwanamke angepewa talaka na mamlaka sooner than that (baada ya kuthibitishwa kuwa mume hana uwezo wa kumuingia mwanamke), na wala huyo mwanamke asingakaa eda, yani anaachwa leo kesho kama kuna mwamba anamtaka anamuoa maisha yanaendelea.

Swali ni je Kanisa inatambua hiyo talaka? naomba wajuzi watuelimishe
 

Ndio kanisa linatambua hiyo Talaka. Kesi yao Walianzia kusikilizwa kanisani kwanza ndipo wakaamia mahakamani
 
Kwanini amevumilia hivyo huyo dada hiyo ndoa ilikua batili week ya kwanza tu angeenda kushtaki kwa viongozi wa kanisa ndoa ingevunjwa
 
Jamaa angempa tu talaka mapema mambo yasingekua mengi mpk huku kwenye mitandao!maana sasa kadhalilika bure tu
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana,kama angekuwa hazai je mume angempeleka mahakamani.Wanaume tusipokuwa makini wnaume watatumaliza hapa duniani.Kataa ndoa ,chezea acha asepe.
 
Hiyo ndoa ilikuwa Voidable .Sheria ya ndoa ya 1971 na marwekebisho yake inaipa mahakama mamlaka ya kuivunja na kwa mujibu wa katba ya JMT ya 1977 imeipa mamlaka kipekee mahakama kutoa haki.Kuna sababu za kuifanya ndoa batili moja kwa moja(void) lakini hili la kushindwa kubanduana siyo mojawapo.
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana,kama angekuwa hazai je mume angempeleka mahakamani.Wanaume tusipokuwa makini wnaume watatumaliza hapa duniani.Kataa ndoa ,chezea acha asepe.
Kwa hapo mwanamke yuko sahihi.Kuzaa siyo sawa na kula ndoa yaani consumation.Hapo mke amevumilia sana anastahili pongezi.Sheria inataka consumation ifanyike siku ambayo ndoa ilifungwa.Angeweza kudai talaka siku iliyofuata baada ya kufunga ndoa.Kuzaa siyo lengo mama la ndoa bali ilin ndoa iwe ndoa lazima kukulana mzigo.Failure to consumate,renders marriage voidable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…