Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

Mtoa post moderator muwe mnaficha majina ya hayo wa husika , Sio sawa kbsa privacy za watu kuw waz

Mahakama ndio inaziweka wazi.

Hata wewe ukigoogle tu hayo majina utaona website za mahakama zinakuonesha nakala za Divorce yao.

Mahakama hainaga siri wala kuficha ficha vitu
 
Kama mali zipo, bibi angevumilia tu huku nje tukiwa tunampiga paipu taratibu
 
Baadae zitakuja kesi za kuvunja ndoa kwasababu jamaa anakojoa haraka kama jogoo au anaishia bao moja tu.

Sasa huyo mwamba nae anaona hadindishi, kwanini kaoa? Si angetafuta tiba tu?
 
Husimamishi halafu unaoa ili iweje? Alimweleze mwenzie kuhusu hali yake?

Au alipigwa juju usiku wa harusi yake?

Mabinti wana la kujifunza,kubana miguu hadi ndoa kwa hofu ya kuchezewa unaishia huku.
 
Masister wanateseka sana na breast cancer, huwez mkuta sister ana cervical cancer, wengi wao ni breast cancer kwasababu hawanyonyeshi.
Umeandika nini sasa! Kama masista hawana cervical cancer, hapo si afadhali kila mwanamke awe sister.
 
Umeandika nini sasa! Kama masista hawana cervical cancer, hapo si afadhali kila mwanamke awe sister.
Nimejaribu kukuelimisha kwa swali uliouliza, masister wanapata cancer za matiti sio kwa sababu ya kukosa tendo la ndoa bali ni kwasababu hawanyonyeshi.
 
Vijana mnapenda uzinzi kwel
Ndio lakini pia hapana, kwann?? Mungu alituumba tuingie kweny hayo mambo baada ya kufunga ndoa, muda aliouweka kutoka kuzaliwa hadi kufunga ndoa ulikuwa ni muda ambayo hata kama hufanyi chochote huwez patwa na madhara, plus good diet na mazoezi inasaidia sana kutunza afya, lakini sasa mambo yamebadilika, kwanza tunachelewa kuoa na kuolewa kwasababu ya shule(kusoma) pia hali ya maisha, lishe duni, hatufanyi mazoezi, malezi mabaya haya yote plus kukosa tendo la ndoa lazima upate msongo wa mawazo au hormonal problems, we acha tuu tufanye mzee.
 
Mtu akisha andika habari akaingiza Mungu huwa sisomi tena asante mkuu kwa mchango wako.
 
Nimejaribu kukuelimisha kwa swali uliouliza, masister wanapata cancer za matiti sio kwa sababu ya kukosa tendo la ndoa bali ni kwasababu hawanyonyeshi.
Tatizo hupo makini na uandishi. Neno hana umeandika ana. H katika andishi linaweza kubadili maana ya andishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…