Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Huduma inakuja na manufaa yapi kwa huyo baba mhudumiaji?Ukioa single mother mwanzon ndio unatakiwa uamue kuwa unamuhudumia mtoto/watoto na ukihudumia Tuu 😮 mkiachan utaendelea kuhudumia mifumo ya sheria ipo hivyo ata hapa Tz ila usipo muhudumia hutotoa huduma ata mkiachana
Be aware