Mtumaji mkuu kafwaa...Waliobaki wote wanapiga magoti kwa Mother ili kuyashibisha matumbo yao, hawataki kusogelewa na Musiba hata within 1 km
Mie sijui kama halipo ila najua waandishi wake wapo hapa hapa jf, hivyo wanaweza kikanusha kuwa bosi wao yamempata hayo 😂😂Kwani lipo? Wafanyakazi wanamdai nao sijui wapo kwa Pilato!
Unaweza kufuga nyoka. 🐍Apewe kazi ya u house boy kwa Membe
Akimaliza kifungo na deni limeisha?Unampeleka ndani kama mfungwa wa madai
Kama mali haifiki 6B? Let's say mali ni 100M, hapo itakuwaje? TunakifunzaWatachukua mali yote aliyonayo kwanza mpaka ifike bil6...itakayobakia ataamriwa atoe utaratibu wa namna ya atakavyolipa
Mpiga Zumari wake? la hasha.Magufuli angekuwa hai wangemtia musiba hatiani?
Unapo kazi a hukumu kuna option Tatu. Ya kwanza mdaiwa alipe mwenyewe ya pili kukamata Mali zake na kunadi na ya Tatu kumuweka ndani kama mfungwa wa madai mpaka atakapo Lipa. Thus hio option ya kumuweka ndani ipo kwenye kesi zote 2Ni dhahiri huyu muhanga hawezi kulipa hizo faini. Je hukumu kwa kawaida ikitoa adhabu ya faini pia husema iwapo mshitakiwa atashindwa kulipa huwa kuna option ya kutumikia kifungo! Je hukumu hizo zote mbili dhidi ya Musiba hazizungumzii hiyo option ya kutumikia kifungo kwa huyu kiumbe?
Ok kumbe ndivyo ilivyoUnapo kazi a hukumu kuna option Tatu. Ya kwanza mdaiwa alipe mwenyewe ya pili kukamata Mali zake na kunadi na ya Tatu kumuweka ndani kama mfungwa wa madai mpaka atakapo Lipa. Thus hio option ya kumuweka ndani ipo kwenye kesi zote 2
Mfilisi huyo mjinga mpenda sifa asiyejitambuaNi dhahiri hataweza kulipa hiyo faini, kwa hiyo itakuwaje? Wanasheria hebu saidieni
Pumbavu Sana huyu taahiraMahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili