Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Mkuu sasa huo wivu!! Lakini una hakika kwamba ukijitoa mhanga unawapata?Atafaidi mabikira kadhaa bila sababu ya msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa huo wivu!! Lakini una hakika kwamba ukijitoa mhanga unawapata?Atafaidi mabikira kadhaa bila sababu ya msingi.
Mwenzake alidai eti na yeye katumwa kufanya ujambazi na kupora watu pesa!!! Juzi kati kahukumiwa miaka 30 kama kianzio.Waliomtuma kutukana watu wamsaidie kulipa
Imempuuza vp sasaMahakama imetoa uamuzi katika kesi ya Member vs Musiba. Itabidi Musiba ajipigepige mifuko.
Bwana joho [emoji28][emoji28][emoji28]Kama anatoa 0712 aende Mombasa kwa bwana 001 atamsaudia kupunguza kias Cha deni
Akishindwa, apereke makalio kwa Membe yashughurikiwe.Sasa atazitoa wapi hizo bilioni nyau huyo
Kwa hiyo membe nae ameridhika kama atalipwa au? Si achukue tu roho ya msiba akatunze kwake.Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili
Amepata funzo Sasa na nadhani atakuwa na usia mzuri kwa wanawe.Katika Ufalme ule nani angemgusa Cyprian Musiba.
NakaziaMusiba kapatwa na musiba mukubwa
Musiba Bil 8 atapata wapi na mwendazake hayupo?Mahakama imetoa uamuzi katika kesi ya Member vs Musiba. Itabidi Musiba ajipigepige mifuko.
Tatizo haikuwa hoja yako, Bali kina lako tukajua ni nguvu ya 'mjani' hakuna ukweli🤣Huyu jamaa kuna kipindi nilikuwa nafungua uzi kulalamika kwa nini anaachiwa achafue watu nilikuwa nadhihakiwa na mashabiki wake halafu baada ya muda uzi unaondolewa, naona sasa anavuna alichopanda !
View attachment 1989470