Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Tort Law: liability depends upon fault.
Swali la msingi: mumewe alikubali makosa kiungwana au alikuwa na makosa ya barabarani yaliyosababisha ajali.
Hiyo ni traffic recorded incident au ni ubishani wa maneno ya nini kilichojiri (aisadii sana upande wa mjane kwa sababu mumewe alikubali fault).
Pili nyumba ipo kwenye jina la nani ya familia au mumewe pekee ili kuelewa kanuni gani ya limited liability kutumika.
Vinginevyo kama mumewe ndio mwenye makosa, sheria ni msumeno; kama nyumba ni mali yake pekee.
Ingefaa zaidi kama hawa wanasheria wangetumia hizi kanuni za tort kuwavaa wenye mabasi ajali zinapotokea na kupoteza maisha ya watu. Tort inge make sense huko kwa misingi ya ‘vicarious/srict
liability’ kuliko kwa wajane.