Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

Tort Law: liability depends upon fault.

Swali la msingi: mumewe alikubali makosa kiungwana au alikuwa na makosa ya barabarani yaliyosababisha ajali.

Hiyo ni traffic recorded incident au ni ubishani wa maneno ya nini kilichojiri (aisadii sana upande wa mjane kwa sababu mumewe alikubali fault).

Pili nyumba ipo kwenye jina la nani ya familia au mumewe pekee ili kuelewa kanuni gani ya limited liability kutumika.

Vinginevyo kama mumewe ndio mwenye makosa, sheria ni msumeno; kama nyumba ni mali yake pekee.

Ingefaa zaidi kama hawa wanasheria wangetumia hizi kanuni za tort kuwavaa wenye mabasi ajali zinapotokea na kupoteza maisha ya watu. Tort inge make sense huko kwa misingi ya ‘vicarious/srict
liability’ kuliko kwa wajane.
 
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.

Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.

Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.

Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.

Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.

Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.

Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.

Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.

Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.

Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.

View attachment 3252053
Duuu!!
 
Taarifa haijanyooka. Mahakama haiwezi tu kuamua moja kwa moja kuwa nyumba iuzwe. Mahakama itakachosema ni kuwa mshitakiwa alipe sh mil 35. Uamuzi wa kuuzwa kwa nyumba utakuja kama mshitakiwa atashindwa kulipa pesa hizo na hiyo ni kesi nyingine kabisa inayohusisha mirathi.
 
Siku zote ukipata shida inayohusiana na sheria ,wewe tafuta mwana sheria akusaidie vinginevyo utapewa hukumu hata ya mtu mwingine, tatizo ni kutokujua sheria ,kazi ya bima ni kudeal na ajali sio mtu binafsi
Kichwa Nazi kweli wewe, Bima inadeal na chombo pia na abiria wao!, ajali ni traffic case, Bima inafidia chombo na majeruhi, ref, ajali ya Andrew chenge na bajaji
 
huku ndo tulikofikia?! Huyo mlemavu anatafuta pa kutokea kimaisha bila kujali anaenda kuingamiza familia ya mwenzie,..umepata ajali MUNGU kasaidia umetoka hai japo imekuachia ulemavu lakini ndo utake kingi kiasi ambacho unaenda kuharibu na maisha ya wengine?
 
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.

Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.

Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.

Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.

Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.

Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.

Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.

Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.

Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.

Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.

View attachment 3252053
Huyo dreva wa gari atakuwa ana shida why daily ma ajari???
 
Mshauri aende kituo cha sheria apate usaidizi wa kisheria. Jambo hili si la kujadili mtandaoni pekee, ni la kisheria japo yaonekana limekaa kimtegomtego. Atachomoka tu akipata mwanasheria mzuri.

Unasema mama ni mjane, kwa maana mume aliyesababisha ajali alifariki?

Aendeke kupata usaidizi wa kisheria
 
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.

Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.

Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.

Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.

Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.

Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.

Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.

Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.

Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.

Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.

View attachment 3252053
Akate rufaa!
 
Maana yake inaonekana chombo kilichosababisha ajali hakikuwa na bima. Tatizo ndio lilipoanzia.
 
Sio mjuzi hivi Mtenda kosa akifariki anakuje kesi ama shauri alith mtu mwingine

  1. Kesi za Jinai:
    • Ikiwa mtuhumiwa wa kesi ya jinai (criminal case) anafariki dunia kabla ya kesi kuhitimishwa, kwa kawaida kesi hiyo hufutwa (abates) kwa sababu jinai ni ya mtu binafsi, na haiwezi kuendelea dhidi ya mtu aliyekufa.
    • Hata hivyo, kama kuna mashtaka dhidi ya washirika wengine wa kosa hilo, kesi yao inaweza kuendelea.
  2. Kesi za Madai (Civil Cases):
    • Kama ni kesi ya madai (civil case), inaweza kuendelea dhidi ya mali ya marehemu, hasa kama kuna wadai wanaodai fidia kutoka kwenye mali hiyo.
    • Ikiwa marehemu alikuwa mlalamikaji (anayefungua kesi), basi kesi inaweza kuendelea na warithi wake au kufutwa kulingana na aina ya madai.
DR HAYA LAND
 
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.

Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.

Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.

Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.

Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.

Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.

Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.

Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.

Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.

Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.

View attachment 3252053
Kuna mwenyekiti wa Baraza la aridhi na nyumba,Moshi Kilimanjaro,anaitwa Mrema, naye ni tatizo kubwa.

Anatukana wateja ,anauza nyumba za wananchi bila amri za mahaksma,kwa kutoa maneno machafu.

Huyu anfanya Rais Samia kukosa kura Kilimanjaro.
Asipohamishwa haraka,anasababisha majanga makubwa kuliko maelezo
 
Sio mjuzi wa sheria kabisa, lakini, Pana hujuma hapo, malipo ya ajali hufanywa na bima ambayo huwepo kwenye chombo cha moto, kibaya nadhani huyo aliyegongwa ni mchawi mbaya Sana, hilo ni game!, inachezwa na mahakama, na wapuuzi katika kudhulumu.
Serekali izuie ujinga huu.

Sheria ipo wazi kama gari haina bima anayewajibika kulipa fidia ni Miliki wa gari . Kitakachofudia ni mfuko wake kupitia mali zake hata akimbilie ahera .

Bima third part ni compasory lakini kuna watu wanakaidi kukata .

Abiria wa pikipiki ni third part kama gari ingekuwa na bima hayo yasingetokea .

Mahakama ipo sahihi na imetenda haki.
Hizi huruma sijui za mjane sijui watoto hazihusiki kabisa ndio maana sheria ililazimisha vyombo vyote vya moto vikatiwe bima angalau bima ndogo kwa ajili ya matukio kama hayo .

Alipe tu kama anayo au akakope benki kwa dhamana ya nyumba vinginevyo hiyo nyumba kama ni mali ya marehemu itauzwa tu.
Au akae mezani na huyo jamaa ampunguzie dau wauze gari iliyokua imemgonga alipe kidogo kidogo . Lakini kukwepa kulipa haitawezekana .
Huyo marehemu inaonekana alikua anaendesha gari akiwa ameshakunywa maji.
 
Sio mjuzi wa sheria kabisa, lakini, Pana hujuma hapo, malipo ya ajali hufanywa na bima ambayo huwepo kwenye chombo cha moto, kibaya nadhani huyo aliyegongwa ni mchawi mbaya Sana, hilo ni game!, inachezwa na mahakama, na wapuuzi katika kudhulumu.
Serekali izuie ujinga huu.
Hujui ulichoandika,kwa muono mdogo tu wa kisheria hiyo gari haikuwa na bima ndio maana dereva anadaiwa moja kwa moja.
Sioni mantiki ya kuitukana mahakama hapo.
Fuata sheria uwe salama wewe na familia yako
 
Wachanga wana historia fulani hivi,hapo kuna kitu hakikua sawa kwa huyo lymo au mkewe

Ujuaji muda mwingine sio mzuri na busara ni nzuri wakati wote
Wachanga ni watu gani?
 
Sio mjuzi wa sheria kabisa, lakini, Pana hujuma hapo, malipo ya ajali hufanywa na bima ambayo huwepo kwenye chombo cha moto, kibaya nadhani huyo aliyegongwa ni mchawi mbaya Sana, hilo ni game!, inachezwa na mahakama, na wapuuzi katika kudhulumu.
Serekali izuie ujinga huu.
Chanzo cha haya yote ni serikali yako ya ccm inayoendekeza vitendo vya rushwa, na pia kurusu kuwepo na sheria nyingi za kizamani.
 
Back
Top Bottom