Tatizo ndugu zangu mnashindwa kutambua kua sheria inaruhusu ushahidi au shahidi asionekane. Ilo sio kinyume na sheria
Wakati mwingine mashahidi wa siri wataweza kufanya watu waanze kutafuta mchawi na hivyo kulaumiana bila sababu.
Amandla...
Walindwe dhidi ya nani 🏃🏃🏃 huku ni kujitia dole na kulinusa.... Upumbafu mtupu wacheni kuchezea Kodi zetuMahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Wala hakuna chochote wana nunua muda tuMahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Chura kiziwiMTANYOOKA TU WAHUNI NYIE MANATAKA KUHARIBU TAIFA MUANGALIWE TU MTU ANAHAMASISHA UASI AANGALIWE TU? LISSU NI MUHAINI ANYONGWEEE
Ifike wakati elimu ya darasa la saba au la nne ikusaidieACHA AKOME SI ANAJIFANYA ANAJUWA SANA SHERIA ATANYOOKA MWAKA HUU ATAHENYA
Idi%t, fo$%$%, 😡😡😡😡ACHA AKOME SI ANAJIFANYA ANAJUWA SANA SHERIA ATANYOOKA MWAKA HUU ATAHENYA
Itabidi ila na yeye akatae wakiwa hawamuoni..nadhani Lissu naye avae kininja.
Let it be !Hawa walio nyuma ya hii kesi wanaweza kufa kabla ya hata kesi yenyewe haijaisha
Itakua huku ya aina ganiNiliandika hivyo, kuwa Lissu hasipoteze muda kwenda mahakama ya rufani akubali mashahidi wa Siri wakishamaliza kubwabwaja hasiwaulze chochote means no cross examination,hii itafanya kesi iende chap, na tuone hio hukumu.
Wanasema ni yule aliyemtupa nje wakati wa Kinyanganyilo na wengine maisha aya buana.Mimi kama mshauri wa Mama amteme tu Lissu maisha ni Fumbo kubwa SanaKwa technologia ilipo watajulikana tu, labda wageuke mabubu. Tayari wameshatambua kutoa tu ushahidi wa uongo dhidi ya lisu unakuwa Adui wa taifa.