4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mkuuu hachana na mataila si bora mtu kula kitanzi kusimamia haki nani hatakufa tena mengine kama haya yatakufa mdomo waziAtakula kitanzi mamako mzazi aliezaa bumunda kama ww
Mkuuu hachana na mataila si bora mtu kula kitanzi kusimamia haki nani hatakufa tena mengine kama haya yatakufa mdomo waziAtakula kitanzi mamako mzazi aliezaa bumunda kama ww
Bado hujatukana,Atakula kitanzi mamako mzazi aliezaa bumunda kama ww
Mimi ninayo imani kua lazma itumike kama inavyotakiwa.Alafu ndugu tuondoe hofu kua haki aiwezi kutendeka wakati mahakama zetu hizi hizi Lissu amekua akishinda kesi. NRNEMkuu, Nakubaliana na wewe.. uwepo wa sheria kama Protection of Witnesses and Whistleblowers Act, hasa kwa kesi nyeti kama uhaini au ugaidi. Lakini hata sheria hizo ziko chini ya Katiba zinapaswa kusikiliza haki ya mshtakiwa kupata haki ya kujitetea ipasavyo, ambayo ni fair trial.
Ukilinda mashahidi kwa kuwaficha majina, uso, sauti, na kila kitu kisijulikane, unamnyima mshtakiwa haki ya msingi ya kuuliza maswali. Hii sheria inaweza kutumika vibaya na historia ya nchi nyingi duniani inaonyesha hivyo.
Kwa hiyo swali si kama sheria ipo au haipo, swali ni: sheria hiyo inatumika kwa haki au kwa kulinda maslahi fulani ya kisiasa?
Hili swala lako rostam alishalitolea ufafanuzi 😀😀Wanasheria tusaidieni , hii kesi ya Lissu ni ya uhaini na hukumu yake ni kifo , inakuwaje mashahidi wa kesi hiyo wajifiche wakati wanatoana ushahidi?
Huko nyuma kesi za uhaini zilisikilizwa in open court na mashahidi walijitokeza na kutoa ushahidi wako ; Nakumbuka kwenye kesi ya Gray Likungu Mattaka na we zake presided by Chief Justice George’s the principal witness Portlako Ketchner Leballo alitoa ushahidi wake in open court!! How is this case different?
Sababu gani za msingi za kisheria zinazoruhusu uamuzi kama huu wa kuficha mashahidi?
Rostam kalitolea ufafanuzi wapi? Toka lini Rostam kawa mwanasheria? Yeye ni fundi wa kuiba maliasili za nchi basi!Hili swala lako rostam alishalitolea ufafanuzi 😀😀
Kwa usalama wa mashahidiWanasheria tusaidieni , hii kesi ya Lissu ni ya uhaini na hukumu yake ni kifo , inakuwaje mashahidi wa kesi hiyo wajifiche wakati wanatoana ushahidi?
Huko nyuma kesi za uhaini zilisikilizwa in open court na mashahidi walijitokeza na kutoa ushahidi wako ; Nakumbuka kwenye kesi ya Gray Likungu Mattaka na we zake presided by Chief Justice George’s the principal witness Portlako Ketchner Leballo alitoa ushahidi wake in open court!! How is this case different?
Sababu gani za msingi za kisheria zinazoruhusu uamuzi kama huu wa kuficha mashahidi?
Kwa usalama wa mashahidi
Usalama gani. Uhuni tu.
Mbona kesi za huko nyuma wakati wa Nyerere pamoja ya hivi karibuni ya Mbowe hawakufichwa na hakuna kilichowatokea kwao....!!?
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala taarifa zao zinazoweza kuwafanya wakatambulika, wao, familia zao, marafiki zao na watu wengine wa karibu yao.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 na Jaji Hussein Mtembwa kufuatilia maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mshitaka (DPP), imezuia pia taarifa zao kusambaza, kuchapisha na kutangazwa na chombo chochote cha habari, bila ridhaa ya Mahakama.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Mbinga kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam na baadaye kupandishwa kizimbani Aprili 10, 2025.
Chanzo: Mwananchi
Kama mashahidi hao ni kama hao hao uliowataja kuna shida.Lakini kumbuka kuna Protection of witness and whistleblower's act mkuu.
Mashahidi wameona kuna kila dalili ya kudhuriwa na wanachadema.Wana haki ya kulinda uhai wao
Hawezi kumnyonga wanasogeza muda wakimaliza uchaguzi tu anafuta kesiKwa hiyo Maza yupo serious kweli kweli kumnyonga Lissu mpaka kufa.....!!!?