GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi ninayo imani kua lazma itumike kama inavyotakiwa.Alafu ndugu tuondoe hofu kua haki aiwezi kutendeka wakati mahakama zetu hizi hizi Lissu amekua akishinda kesi. NRNE
 
Wanasheria tusaidieni , hii kesi ya Lissu ni ya uhaini na hukumu yake ni kifo , inakuwaje mashahidi wa kesi hiyo wajifiche wakati wanatoana ushahidi?
Huko nyuma kesi za uhaini zilisikilizwa in open court na mashahidi walijitokeza na kutoa ushahidi wako ; Nakumbuka kwenye kesi ya Gray Likungu Mattaka na we zake presided by Chief Justice George’s the principal witness Portlako Ketchner Leballo alitoa ushahidi wake in open court!! How is this case different?
Sababu gani za msingi za kisheria zinazoruhusu uamuzi kama huu wa kuficha mashahidi?
 
Safi sana… uchaguzi ukiisha DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi na hapo ndio Chadema inakuwa ishajifia rasmi..

Chama kilikabidhiwa kwa washamba, mwema hazina Mmachame Lema ashaingia mitini ameona tone tone haziendi
 
Ni ujinga kabisa kwa hiyo mashahidi ni wafu, au ni watoto wa miaka chini ya 18.
 
Hili swala lako rostam alishalitolea ufafanuzi 😀😀
 
Kwa usalama wa mashahidi
 
Mashahidi wameona kuna kila dalili ya kudhuriwa na wanachadema.Wana haki ya kulinda uhai wao
Usalama gani. Uhuni tu.

Mbona kesi za huko nyuma wakati wa Nyerere pamoja ya hivi karibuni ya Mbowe hawakufichwa na hakuna kilichowatokea kwao....!!?
 
Wana haki ya kulinda uhai wao
 
Kama mashahidi hao ni kama hao hao uliowataja kuna shida.Lakini kumbuka kuna Protection of witness and whistleblower's act mkuu.

..miaka ya 80 wakati wa kesi ya uhaini wakurugenzi wa idara ya usalama wa taifa walikuwa wanafichwa utambulisho wao.

..Mazingira hayo ndio yaliyopelekea wasitoe ushahidi katika mahakama ya wazi na kwenye vyombo vya habari walitambulishwa kama shahidi X, na shahidi Y.

..kwasababu mazingira ya nchi yetu yamebadilika, sitegemei kama wakuu wa vyombo, ikiwa watalazimika kwenda kutoa ushahidi dhidi ya Tundu Lissu, mahakama itaficha utambulisho, na ushahidi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…