Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mashoga wengi saivi wana kimbilia Arusha sijui ndo njia rahisi ya kwenda abroad
 
Hapo Moshi mjini ukitokea stendi nyoosha ukifika hiyo njia panda kunja kulia uelekeo wa Mawenzi hospital angalia jengo la kwanza la national housing la ghorofa moja kuna lodge kwa juu lipo dume moja mhudumu la Kisambaa lilinitongoza ilikuwa mida ya saa moja hivi nikaliambia ngoja niwahi pale kwenye duka la spea mara moja kabla hajafunga halafu nitarudi baadaye, nikasepa zangu nikawa najiambia mwenyewe hata nikutane naye hata salamu yake sitaki, hata kwenye hizi harusi huwa nakutana nao sana.
 
Acheni pozy za kishonga kama hamtaki kupigwa dolee..
 
Limeshakuwa wimbi sasa ukikanyaga tu unachekiwa km unatumiwa
 
Hakuna kitu kama hicho itakuwa inashangaza basi jibaba zima na kengele zake kujiingizia mivitu vitu mk****ni kama sio punga tena zoefu
Ni haki yako kushangaa lakini hauna haki kukana uwepo wa tabia hiyo. Na kwa vile hamna sheria inayokataza matendo hayo mtu anaevifanya hawezi kuchukuliwa hatua za kisheria. Hata kama ni punga mzoefu maana hamna namna ya kuthibitisha hali iliyokutwa ilisababishwa na binadamu mwenzake au yeye mwenyewe bila kuwa na video ikionyesha akishiriki kwenye hayo mambo pamoja na mwanaume/wanaume/ wenzake au hata mwanamke.
Kwa sababu sheria hii haibagui hata wale wanawake wenye mchezo wa kujiingiza vitu kwenye sehemu zao zote za siri wanahusika.

Amandla...
 
Tumezigundua Tz na tutakitumia kukupima wewe
 
Wanazengo!
Hivi hawa wanaokuwa sodomized wakifungwa wanapelekwa jela zipi za kike au za kiume?

Kama za kiume ina maana wanaenda kuolewa jumla huko bila mahali au za kike, bunduki si hazina uwezo wa kusimama tena misuli ya uti wa mgongo imelegea hivyo wakiwa pamoja hakuna tatizo wataishia kuangaliana tu otherwise wajengewe gereza lao wakafanye ushenzi wao huko.
 
Hii mada inahusu wanaume wanaoingiliwa, wewe kama ni mmoja wao tukikudaka lazima tu
 
Kuna kipimo gani labda,tushauri tuanze kukitumia kuwanasa
 
Gerezani hakuna hiyo michezo, we nenda afu utoe mkuyundu uone kama utatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…