Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

IMG_20230330_105859.jpg
mkae makini, Mvua 30 inawahusu.
 
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja? Mbona Makonda alivyowawashia moto mashoga Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje alimkana na kusema hayo ni mawazo yake binafsi, Makonda akanywea?

Na hayo mapenzi ya jinsia moja unayahakikishaje?

Hiyo habari ya kutembea uchi ni "whataboutism" na "strawman argument", hatuongelei mtu anayetembea uchi hapa.

Tunaongelea Tanzania hapa, kwa nini unaona ulazima wa kuwaweka wazungu, tena kwa kutumia "hata wazungu", kwa nini wazungu ndio wawe wa kupigiwa mfano?

Mtu mzima na kinyeo chake, akiamua kukigawa kwa anayemtaka kwa raha zake, wewe kinachokuwasha nini?
Bwana Kiranga.
Kinyeo ni chako baba angu kitumie uyakavyo ila sisi tunaiunga mkono serikal yetu.
Huna utakalosema nikuelewe.
Sisi kazi ni moja tu,
Kuwakamata kuwapima kuwatupa selo.
 
Mama ana piga kimya kimya..
Nadhani wakiaanza na hawa wanao jionesha na kufahamika na jamii...
itakuwa ni tishio kwa wengine.

Kwa hiyo hapo akina Kumbuka, akina, Aggrey wajiandae
This is what we called "kimya kimya".
Safi sana kwa vyombo vinavyohusika.
Safi sana kwa Mh. Rais SSH.
 
Joined january 25 2023. Haya karibu sana mgeni.
Ila tu nikujulishe hawawezi kukosa maana hii ni jamii.
Na ina idadi kubwa ya watanzania ukiwamo wewe ambaye sio shoga, wapo mashoga, wapo wakulima, wapo wajasiriamali, matajiri wa kkoo, wachaga na wakinga, wapo wasukuma, chawa wa mama, wapo viongozi kama nape nnauye, yupo mama samia raisinwa tanzania, yupo humu daktari bingwa wa muhimbili, ocean road, wapo waathirika wa ukimwi, wapo waganga humu na wanaoujua uganga mfano mshana jr, wapo wauza nguruwe. Humu jf wapo watu wa aina nyingi, kuna hadi watoto humu chini ya miaka kumi na nane.
Narudia tena KARIBU SANA.
We nani kakwambia huyo sio shoga🤣🤣🤣
 
Bwana Kiranga.
Kinyeo ni chako baba angu kitumie uyakavyo ila sisi tunaiunga mkono serikal yetu.
Huna utakalosema nikuelewe.
Sisi kazi ni moja tu,
Kuwakamata kuwapima kuwatupa selo.
Kwanza kabisa, elewa fikra dhahania, maana yake, mzungu anaweza kutetea haki za watu weusi kutobaguliwa bila yeye kuwa mweusi, kwa kuwa anaelewa tu kuwa watu weusi, au mtu yeyote, kubaguliwa kwa rangi yake, si kitu kizuri.

Vivyo hivyo, mimi bila ya kuwa shoga, naweza kuwa nimeelimika na kujua tu kwamba mambo ya kumpangia mtu mwingine jinsi ya kuishi si sawa.

Tumeelewana hapo?

Tuje kwenye kuiunga mkono serikali.

Wewe unayeiunga mkono serikali unaiunga mkono serikali katika lipi?

Waziri wa Mambo ya Nje kamkana Makonda, Makonda alipoanzisha vita dhidi ya ushoga.

Rais Samia juzi kasema wakubwa fanyaneni mnavyotaka, tatizo msiwaingilie watoto tu.

Sasa serikali unayoiunga mkono wewe ni ipi?
 
Nimetoa huo mfano kuonyesha how stupid the whole idea ya kumpima mtu kama ni shoga au sio is. Ni kama vile hapo zamani maharusi walikuwa wanatandikiwa shuka nyeupe ili kupata uhakika kuwa bi harusi ni bikira au sio. Kama hapatakuwa na damu baada ya kufanya tendo la ndoa yule binti alikuwa anahesabiwa kuwa ni mbovu. Hii ni pamoa na ukweli kuwa hymen ya mwanamke inaweza kukatika hata bila kufanya tendo la ndoa na kuwa kuna wengine wanazaliwa bila hymen. Huu ni upuuzi ule ule.

Amandla...
Watanzania wanachukia sana ushoga na wanataka waliopo watokomezwe, na njia ya kupima tunayo na tunaamini ufanisi wake kwa asilimia zote.

Waambie tumalize tatizo kwa kufanya universal testing kwa kila mmoja, atakayeonekana positive aadhibiwe hata kunyongwa. Hapo ndio utaona unafiki na ujinga tulio nao
 
Tena wapimwe haeaka sana
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Tena wapimwe haraka sana, bila kusahau vijana wengine wote wenye tabia kama za akina noel
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Sababu ipi iliyopelekea kutolewa amri hiyo na mahakama?
 
Back
Top Bottom