Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Watanzania wanachukia sana ushoga na wanataka waliopo watokomezwe, na njia ya kupima tunayo na tunaamini ufanisi wake kwa asilimia zote.

Waambie tumalize tatizo kwa kufanya universal testing kwa kila mmoja, atakayeonekana positive aadhibiwe hata kunyongwa. Hapo ndio utaona unafiki na ujinga tulio nao
1.Jamii yetu imejaa watu wanaopenda kuwindana, kuumizana, kupigana.

2. Jamii yetu ni ya mfumodume. Mpaka wanawake wengine wanasema wanatamani wangezaliwa wanaume.

3. Mashoga wa kiume, bottoms, wanaonekana wamepewa uanaume, wameukataa.

4. Mashoga hao ni the most vulnerable group. Kundi ambalo mtu yeyote mwenye matatizo yoyote akilitukana na kuliandama atapata support ya watu wengi tu. Ni chaka la kujifichia failures wote wa maisha, yani no matter how much of a failure you are, usipokuwa shoga tu, una mtu aliye chini yako, someone to lord it over and kick.

5. Almost kila mtu anapenda kuwa na kibonde wa kumuonea kirahisi bila kuandamwa na jamii. A kind of distraction from your own failures in life, your own misery. Hii ndiyo maana hata wazungu fulani masikini kabisa wanajiona wao ni bora kuliko watu weusi, kwa sababu ni wazungu tu. Same thing kwa mashoga. Hii ni Lowest Common Denominator ya ku hate bila consequences katika jamii yetu.

Ukifuatilia sana, wasagaji na mabasha hawaandamwi sana kama wanavyoandamwa mashoga bottom. Tena wasagaji wanaangaliwa kama tatizo la wanaume kutowatosheleza.

Kwa nini? Katika mfumodume, hawa hawajaudhalilisha mfumodume (sio wanaume walioukataa uanaume wa kuzaliwa nao). Hapa mfumodume unajimwambafy tu kwamba hawa tunaweza kuwarudisha kundini kama wanaume wakiamua.

Mabasha nao hawaandamwi sana, hawa wanaonekana bado wanafanya, hawafanywi, hivyo hawajaudhalilisha sana mfumodume.

Tatizo linakuwa kubwa kwa mashoga bottom, wanaume wanaofanywa.

Hawa ndio wanaonekana wameudhalilisha uanaume, ndiyo maana wanachukiwa na kupimwa, wakati hakuna kundi l8ngine lolote linalopimwa.

Huu ni mfumodume tu.

Mtu akiamua kufirwa kivyake. As long as hajalazimishwa, mimi inanihusu nini?

Kama mimi ninavyopenda wanawake, na sitafurahia mtu akinilazimisha nilale na wanaume, na mimi sitaki kumlazimisha mtu anayependa kuwa na mwenza wake wa jinsia moja awe na mtu wa jinsia tofauti.

Fikiria umeingia sehemu watu wote gay, halafu wewe si gay, halafu wanakulazimisha uwe gay. Utajisikiaje hapo?

It is as simple as that.
 
Duuh wee ndo shoga kuu
 
wanapoteza muda kumpima mtu ambaye 100% anajulikana anaingiliwa. angeliwaambia tu wasijisumbue ni kweli. yule kijana analitia sana taifa hili aibu, na si ndio anasemekana alikuwa jike mmojawapo wa mzungu David
 
Kuna parties huwa zinafanyika Magomeni, nyingi ni chini ya DJ mmoja anaitwa Tasha. Huko huwa wanajazana mashoga wengiii na wanavaa kike na kujiremba kabisa. Hawa wasiachwe.
na bila kusahau magomeni ndio sehemu ambayo majority ni mamwinyi. hivi imekuwaje hadi wakajiimarisha hivyo katikati ya maustaadhi?
 
Kwanza kabisa, elewa fikra dhahania, maana yake, mzungu anaweza kutetea haki za watu weusi kutobaguliwa bila yeye kuwa mweusi, kwa kuwa anaelewa tu kuwa watu weusi, au mtu yeyote, kubaguliwa kwa rangi yake, si kitu kizuri.

Vivyo hivyo, mimi bila ya kuwa shoga, naweza kuwa nimeelimika na kujua tu kwamba mambo ya kumpangia mtu mwingine jinsi ya kuishi si sawa.

Tumeelewana hapo?

Tuje kwenye kuiunga mkono serikali.

Wewe unayeiunga mkono serikali unaiunga mkono serikali katika lipi?

Waziri wa Mambo ya Nje kamkana Makonda, Makonda alipoanzisha vita dhidi ya ushoga.

Rais Samia juzi kasema wakubwa fanyaneni mnavyotaka, tatizo msiwaingilie watoto tu.

Sasa serikali unayoiunga mkono wewe ni ipi?
Mkuu kiranga.
Mim mtu yeyote atakayeanzish vita na mashoga awe ni panya road, mchepuko wa mume wangu,mvuta bangi au serikali nitamuunga mkono.
Asante
 
Uonezi na udhalilishaji wa hali ya juu, hakuna kipimo kama hicho duniani, huyo Hakimu hana akili kabisa kuamuru kipimo kama hicho na hana uwezo wa kutoa haki, ni muhuni hafai kuwa hakimu aondolewe na atuonyeshe sheria gani inaelekeza vipimo kama alivyoagiza
HAKIMU UCHWARA
 
Watanzania fulani, a significant part of the population, hawajui maana ya individual rights.

Watakuja hapa kudai demokrasia na haki zao, halafu wataji contradict kwenye individual rights za some minorities.

No logical consistency.
SAMIA KATILI SANA.

Na ameona watanzania ni majuha basi anapita humo humo KUWASHAMBULIA MASHOGA WASIO NA HATIA.
 
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja? Mbona Makonda alivyowawashia moto mashoga Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje alimkana na kusema hayo ni mawazo yake binafsi, Makonda akanywea?

Na hayo mapenzi ya jinsia moja unayahakikishaje?

Hiyo habari ya kutembea uchi ni "whataboutism" na "strawman argument", hatuongelei mtu anayetembea uchi hapa.

Tunaongelea Tanzania hapa, kwa nini unaona ulazima wa kuwaweka wazungu, tena kwa kutumia "hata wazungu", kwa nini wazungu ndio wawe wa kupigiwa mfano?

Mtu mzima na kinyeo chake, akiamua kukigawa kwa anayemtaka kwa raha zake, wewe kinachokuwasha nini?
Inashangaza Sana
 
Uonezi na udhalilishaji wa hali ya juu, hakuna kipimo kama hicho duniani, huyo Hakimu hana akili kabisa kuamuru kipimo kama hicho na hana uwezo wa kutoa haki, ni muhuni hafai kuwa hakimu aondolewe na atuonyeshe sheria gani inaelekeza vipimo kama alivyoagiza
NInapinga ushoga kwa nguvu zote. ila ninachofikiri iwe uthibitisho mimi kama mwanasheria, ni mtu akutwe anafanya au aconfess kufanya au ushahidi mwingine wowote ule ambao ukipelekwa mbele ya Mahakama unaweza kudraw inference kuwa kitu hicho kipo. Hatari ninayoiona kwenye utaratibu huu ni kwamba, mtu hatakiwi kulazimishwa na Mahakama kupimwa, wasijejitokeza watu wa aina ya Makonda waliokuwa wanalazimisha mtu anapimwa mkojo, hadi kina mbowe, manji na watu wengi tu na heshima zao (tundu lisu aliponea chupuchupu kupimwa kojo), wanaweza kutumia nafasi hiyo kuaibisha wabaya wao.

inatokea tu mtu anakukuta sehemu anakwambia twende ukapimwe nyuma, just like that, hata kama mahakama imeamuru hivyo, si tunajiaibisha kwenye utawala wa sheria aisee na tunawapatia hawa jamaa nafasi za kuongea na kutetewa na wazungu. wazungu wakisikia hili watakuja kwa hasira sana na vita yetu tutakuwa tumeirudisha nyuma sisi wenyewe.

kinachotakiwa kufanywa, ni mtu akikamatwa, kama wale wa mbeya, mtwara na kwengine ambao walikamatwa na kufunguliwa charge, wakafika mahakamani wakasomewa shitaka wakakubali kosa, wakafungwa 30. huo ndio utawala wa sheria. ila tukienda hivi nakuambieni watakamata watu wengi sana kwa maslahi hata ya kisiasa na kuwapekua nyuma.
 
1.Jamii yetu imejaa watu wanaopenda kuwindana, kuumizana, kupigana.

2. Jamii yetu ni ya mfumodume. Mpaka wanawake wengine wanasema wanatamani wangezaliwa wanaume.

3. Mashoga wa kiume, bottoms, wanaonekana wamepewa uanaume, wameukataa.

4. Mashoga hao ni the most vulnerable group. Kundi ambalo mtu yeyote mwenye matatizo yoyote akilitukana na kuliandama atapata support ya watu wengi tu. Ni chaka la kujifichia failures wote wa maisha, yani no matter how much of a failure you are, usipokuwa shoga tu, una mtu aliye chini yako, someone to lord it over and kick.

5. Almost kila mtu anapenda kuwa na kibonde wa kumuonea kirahisi bila kuandamwa na jamii. A kind of distraction from your own failures in life, your own misery. Hii ndiyo maana hata wazungu fulani masikini kabisa wanajiona wao ni bora kuliko watu weusi, kwa sababu ni wazungu tu. Same thing kwa mashoga. Hii ni Lowest Common Denominator ya ku hate bila consequences katika jamii yetu.

Ukifuatilia sana, wasagaji na mabasha hawaandamwi sana kama wanavyoandamwa mashoga bottom. Tena wasagaji wanaangaliwa kama tatizo la wanaume kutowatosheleza.

Kwa nini? Katika mfumodume, hawa hawajaudhalilisha mfumodume (sio wanaume walioukataa uanaume wa kuzaliwa nao). Hapa mfumodume unajimwambafy tu kwamba hawa tunaweza kuwarudisha kundini kama wanaume wakiamua.

Mabasha nao hawaandamwi sana, hawa wanaonekana bado wanafanya, hawafanywi, hivyo hawajaudhalilisha sana mfumodume.

Tatizo linakuwa kubwa kwa mashoga bottom, wanaume wanaofanywa.

Hawa ndio wanaonekana wameudhalilisha uanaume, ndiyo maana wanachukiwa na kupimwa, wakati hakuna kundi l8ngine lolote linalopimwa.

Huu ni mfumodume tu.

Mtu akiamua kufirwa kivyake. As long as hajalazimishwa, mimi inanihusu nini?

Kama mimi ninavyopenda wanawake, na sitafurahia mtu akinilazimisha nilale na wanaume, na mimi sitaki kumlazimisha mtu anayependa kuwa na mwenza wake wa jinsia moja awe na mtu wa jinsia tofauti.

Fikiria umeingia sehemu watu wote gay, halafu wewe si gay, halafu wanakulazimisha uwe gay. Utajisikiaje hapo?

It is as simple as that.
Yaani umeongea points tupu.
 
NInapinga ushoga kwa nguvu zote. ila ninachofikiri iwe uthibitisho mimi kama mwanasheria, ni mtu akutwe anafanya au aconfess kufanya au ushahidi mwingine wowote ule ambao ukipelekwa mbele ya Mahakama unaweza kudraw inference kuwa kitu hicho kipo. Hatari ninayoiona kwenye utaratibu huu ni kwamba, mtu hatakiwi kulazimishwa na Mahakama kupimwa, wasijejitokeza watu wa aina ya Makonda waliokuwa wanalazimisha mtu anapimwa mkojo, hadi kina mbowe, manji na watu wengi tu na heshima zao (tundu lisu aliponea chupuchupu kupimwa kojo), wanaweza kutumia nafasi hiyo kuaibisha wabaya wao.

inatokea tu mtu anakukuta sehemu anakwambia twende ukapimwe nyuma, just like that, hata kama mahakama imeamuru hivyo, si tunajiaibisha kwenye utawala wa sheria aisee na tunawapatia hawa jamaa nafasi za kuongea na kutetewa na wazungu. wazungu wakisikia hili watakuja kwa hasira sana na vita yetu tutakuwa tumeirudisha nyuma sisi wenyewe.

kinachotakiwa kufanywa, ni mtu akikamatwa, kama wale wa mbeya, mtwara na kwengine ambao walikamatwa na kufunguliwa charge, wakafika mahakamani wakasomewa shitaka wakakubali kosa, wakafungwa 30. huo ndio utawala wa sheria. ila tukienda hivi nakuambieni watakamata watu wengi sana kwa maslahi hata ya kisiasa na kuwapekua nyuma.
Watu wanaoshabikia huu mfumo wa kupimana pimana ovyo, hawajui kwamba hata wao wenyewe wanajiweka katika mazingira hatarishi, hata kama si mashoga.
 
tunatakiwa kupinga ushoga, ila kama tukianza kupima, subirini uchaguzi kuanzia mwakani serikali za mitaa, kuna watu watashika kalio wapimwe. watu na familia zao. kwani kupima mkojo ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom