Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Universal declaration of human rights ni hii hapa, tuonyeshe sexual orientation ipo wapi. Nenda moja kwa moja Article 2
Unapoona Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dr. Mahiga kamkana Makonda kwenye vita dhidi ya ushoga, ujue anajua haya mambo kwa muktadha wa kimataifa zaidi.


Freedom from discrimination on the grounds of sexual orientation is found in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR)

The UDHR provides for non-discrimination in Article 2, which states that:[2]

Sexual orientation can be read into Article 2 as "other status" or alternatively as falling under "sex".

In the ICCPR, Article 2 sets out a similar provision for non-discrimination:

In Toonen v Australia the United Nations Human Rights Committee (UNHRC) found that the reference to "sex" in Article 2 of the ICCPR included sexual orientation, thereby making sexual orientation prohibited grounds of distinction in respect of the enjoyment of rights under the ICCPR.[3]

The right to be free from discrimination is the basis of the right to sexuality, but it is closely related to the exercise and protection of other fundamental human rights.
 
Na unakuta mtu ni MAGISTRATE kabisa, Hakimu mwenye degree ya sheria anaamuru mtu APEKULIWE KUNDU kwa minajili ya "kupima ushoga".

Natamani Kiranga ndio uwe MAGISTRATE ukawakomeshe hawa vilaza waliosoma sheria bila kuzijua sheria.
 
We jamaa una madini makali.

Kwanini haukutaka kuwa JAJI ili uliokoe hili taifa dhidi ya VILAZA waliosoma sheria bila kuzijua sheria?

SAMIA akuteue mara moja. Haiwezekani TUMEFUGA MAVILAZA yanapima watu mikundu halafu tumeacha tunu zenye madini
 
nimekuwekea hido universal declaration hapo, tuonyeshe, acha kukopo sehemu ambazo mashoga wamebumba ili ionekane wana haki. hakuna icho kitu. mle kwenye mkataba kuna "sex" tu, na sio sexual orientation.
 
nimekuwekea hido universal declaration hapo, tuonyeshe, acha kukopo sehemu ambazo mashoga wamebumba ili ionekane wana haki. hakuna icho kitu. mle kwenye mkataba kuna "sex" tu, na sio sexual orientation.
Wewe kwanza hujui tofauti ya "hicho" na "icho".

Inabidi ujifunze spellings za Kiswahili kwanza.

Nimekuwekea kesi iliyotupa precedent na interpretation, naona hata hujaisoma.

Umekuja hapa kiubishi zaidi kuliko kujifunza.

Na mimi sipo hapa kubishana, hivyo nitakuacha, sioni tija kujadiliana nawe, umedai vitu, nimekupa, hujavikubali, kwa sababu za ufinyu wa mawazo yako.
 
nimekuwekea hido universal declaration hapo, tuonyeshe, acha kukopo sehemu ambazo mashoga wamebumba ili ionekane wana haki. hakuna icho kitu. mle kwenye mkataba kuna "sex" tu, na sio sexual orientation.
Kwenye hicho ulichoweka kinasema wazi kuwa ubaguzi dhidi ya "sexual orientation" uko chini ya " other status " au " sex" lakini unasema hamna ishu ya "sexual orientation". Wakati mwingine mnajitafutia wenyewe kutukanwa kwa kuitwa vilaza.

Amandla...
 
Siku hizi hakuna tena kupimana mkojo, tunakupima nnya tu!! Wapimwe tu hakuna namna, tena waangaliwe wasikimbilie ubalozini hao [emoji3][emoji3][emoji3]

***Mungu Mmoja = Ndugu Mmoja
Wee mjinga sana umenifanya nicheke kwa sauti hadi mwenye nyumba ametishia nihame kwa upuuzi wa makelele [emoji1787][emoji1787]
 
Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona jeshi wanapima kiroho safi tu wala hakuna anayeona aibu
 
Kweli mwanaume sasa ni bidhaa adimu. Ndio maana vumbi la kongo linapata soko. Maana watu wanapiga mipini , ratio ya 1:20
 
Stop wasting your time on zombies wao washajiwekea an idea basi km uyo Mungu wao ambao hawajawahi kumuona so hao ni Km wanyama pori tu you either flee or shot them Hamna tena cha kuwaelimisha. So stop wasting too much energy and words kwa hawa wanyama pori
 
Kazi kweli kweli
 
Nazani inatakiwa iwepo na fidia ya kuwalipa ikitokea ikawa kinyume cha walivyotarajia maana watakuwa wamewafanyia udhalilishaji mkubwa sana.


Ila kuna asilimia chache sana za hawa jamaa kutoka salama especially somebody NOEL.
[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…