Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Universal declaration of human rights ni hii hapa, tuonyeshe sexual orientation ipo wapi. Nenda moja kwa moja Article 2
Unapoona Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dr. Mahiga kamkana Makonda kwenye vita dhidi ya ushoga, ujue anajua haya mambo kwa muktadha wa kimataifa zaidi.

Freedom from discrimination on the grounds of sexual orientation is found in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR)

The UDHR provides for non-discrimination in Article 2, which states that:[2]

Everyone is entitled to all the rights and freedoms set forth in this Declaration, without distinction of any kind, such as race, colour, sex, language, religion, political or other opinion, national or social origin, property, birth or other status. Furthermore, no distinction shall be made on the basis of the political, jurisdictional or international status of the country or territory to which a person belongs, whether it be independent, trust, non-self-governing or under any other limitation of sovereignty.
Sexual orientation can be read into Article 2 as "other status" or alternatively as falling under "sex".

In the ICCPR, Article 2 sets out a similar provision for non-discrimination:

Each State Party to the present Covenant undertakes to respect and to ensure to all individuals within its territory and subject to its jurisdiction the rights recognized in the present Covenant, without distinction of any kind, such as race, colour, sex, language, religion, political or other opinion, national or social origin, property, birth or other status.
In Toonen v Australia the United Nations Human Rights Committee (UNHRC) found that the reference to "sex" in Article 2 of the ICCPR included sexual orientation, thereby making sexual orientation prohibited grounds of distinction in respect of the enjoyment of rights under the ICCPR.[3]

The right to be free from discrimination is the basis of the right to sexuality, but it is closely related to the exercise and protection of other fundamental human rights.
 
Sexual orientation ni namna mtu anavyo ji identify sexually.
Mifano

Gay = Mtu anayevutiwa na watu wa jinsia yake
Straight = Mtu anayevutiwa na watu wa jinsia tofauti na yake.

Hayo mambo ya sheria, if at all sheria is a compass on these matters (there is a separate debate on if immoral laws should be upheld, but we will get to that shortly), kwenye sheria yetu, hatuna sheria dhidi ya mashoga.

Kwa kuwa, ushoga si sex act, kuna watu wana feelings na watu wa same sex nao, lakini hawaja fanya hiyo sex act, kama vile ambavyo kuna watu wana feelings na watu wa different sex lakini hawajafanya hiyo sex. The fact kwamba hawajafanya hiyo sex act haibadilishi ukweli kwamba wao ni straight au gay. Kinachowafanya wao kuwa straight au gay ni feelings zao, sexual orientation.

Huko kwenye sheria, hizo anti-sodomy laws, haziko specific kwa the gay people, kwa sababu kuna wanaume wanawafira wake zao, wanawafira girlfriends zao, that is sodomy, they don't need to be gay to be subject to this law.

So you can have a straight person going against this anti-sodomy law, and a gay person who never violate this law.

So, hizo habari za kupimana kujua nani shoga ni shortsighted homophobia tu, hazina mantiki, wala hazielewi ushoga ni nini.
Na unakuta mtu ni MAGISTRATE kabisa, Hakimu mwenye degree ya sheria anaamuru mtu APEKULIWE KUNDU kwa minajili ya "kupima ushoga".

Natamani Kiranga ndio uwe MAGISTRATE ukawakomeshe hawa vilaza waliosoma sheria bila kuzijua sheria.
 
Unapoona Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dr. Mahiga kamkana Makonda kwenye vita dhidi ya ushoga, ujue anajua haya mambo kwa muktadha wa kimataifa zaidi.

Freedom from discrimination on the grounds of sexual orientation is found in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR)

The UDHR provides for non-discrimination in Article 2, which states that:[2]

Sexual orientation can be read into Article 2 as "other status" or alternatively as falling under "sex".

In the ICCPR, Article 2 sets out a similar provision for non-discrimination:

In Toonen v Australia the United Nations Human Rights Committee (UNHRC) found that the reference to "sex" in Article 2 of the ICCPR included sexual orientation, thereby making sexual orientation prohibited grounds of distinction in respect of the enjoyment of rights under the ICCPR.[3]

The right to be free from discrimination is the basis of the right to sexuality, but it is closely related to the exercise and protection of other fundamental human rights.
We jamaa una madini makali.

Kwanini haukutaka kuwa JAJI ili uliokoe hili taifa dhidi ya VILAZA waliosoma sheria bila kuzijua sheria?

SAMIA akuteue mara moja. Haiwezekani TUMEFUGA MAVILAZA yanapima watu mikundu halafu tumeacha tunu zenye madini
 
Unapoona Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dr. Mahiga kamkana Makonda kwenye vita dhidi ya ushoga, ujue anajua haya mambo kwa muktadha wa kimataifa zaidi.

Freedom from discrimination on the grounds of sexual orientation is found in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR)

The UDHR provides for non-discrimination in Article 2, which states that:[2]

Sexual orientation can be read into Article 2 as "other status" or alternatively as falling under "sex".

In the ICCPR, Article 2 sets out a similar provision for non-discrimination:

In Toonen v Australia the United Nations Human Rights Committee (UNHRC) found that the reference to "sex" in Article 2 of the ICCPR included sexual orientation, thereby making sexual orientation prohibited grounds of distinction in respect of the enjoyment of rights under the ICCPR.[3]

The right to be free from discrimination is the basis of the right to sexuality, but it is closely related to the exercise and protection of other fundamental human rights.
nimekuwekea hido universal declaration hapo, tuonyeshe, acha kukopo sehemu ambazo mashoga wamebumba ili ionekane wana haki. hakuna icho kitu. mle kwenye mkataba kuna "sex" tu, na sio sexual orientation.
 
Wewe kwanza hujui tofauti ya "hicho" na "icho".

Inabidi ujifunze spellings za Kiswahili kwanza.

Nimekuwekea kesi iliyotupa precedent na interpretation, naona hata hujaisoma.

Umekuja hapa kiubishi zaidi kuliko kujifunza.

Na mimi sipo hapa kubishana, hivyo nitakuacha, sioni tija kujadiliana nawe, umedai vitu, nimekupa, hujavikubali, kwa sababu za ufinyu wa mawazo yako.
 
nimekuwekea hido universal declaration hapo, tuonyeshe, acha kukopo sehemu ambazo mashoga wamebumba ili ionekane wana haki. hakuna icho kitu. mle kwenye mkataba kuna "sex" tu, na sio sexual orientation.
Kwenye hicho ulichoweka kinasema wazi kuwa ubaguzi dhidi ya "sexual orientation" uko chini ya " other status " au " sex" lakini unasema hamna ishu ya "sexual orientation". Wakati mwingine mnajitafutia wenyewe kutukanwa kwa kuitwa vilaza.

Amandla...
 
Siku hizi hakuna tena kupimana mkojo, tunakupima nnya tu!! Wapimwe tu hakuna namna, tena waangaliwe wasikimbilie ubalozini hao [emoji3][emoji3][emoji3]

***Mungu Mmoja = Ndugu Mmoja
Wee mjinga sana umenifanya nicheke kwa sauti hadi mwenye nyumba ametishia nihame kwa upuuzi wa makelele [emoji1787][emoji1787]
 
Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona jeshi wanapima kiroho safi tu wala hakuna anayeona aibu
 
Kweli mwanaume sasa ni bidhaa adimu. Ndio maana vumbi la kongo linapata soko. Maana watu wanapiga mipini , ratio ya 1:20
 
of course, kuna siku hata wewe ambaye ni straight person, utapimwa, wataupekenyua huo unyuma wako. utafurahi? unatakiwa kuwepo utawala wa sheria ili yasitokee kama yale yaliyotokea kwa makonda kupima watu wazima mkojo hadi mwenyekiti alihangaika kweli asipimwe mkojo. au umesahau. hicho ndicho tunachosema.

hata hivyo, haya yote wanasababisha mashoga, wasingeleta ujinga wao hata yasingekuwepo. pia tumeyalea kwa muda mrefu sana, wale kina james, na hata huyo noel, mbona kitambo sana anajionyesha kama ni punga ila tulikuwa tunamwacha tu. pia, ifike pia mahali, hao mashoga wawekwe kitimoto vizuri wawataje wanaowaingilia, nao washitakiwe. hilo linawezekana, ujinga wao ni kwamba wanafungwa peke yao, wanatakiwa waseme wale wanaowaingilia ili wote waende jela. hapo ndio utakaposhangaa hadi viongozi wanakamatika. but everything kiende kwa utawala wa sheria (rule of law) ili vichaa wachache wasijetumia hiyo kama opportunity kuumiza wengine au hata kuomba pesa kwa personal interests.

imagine sasaivi mzee, mtu wa aina ya makonda anatuma watu kwako kwamba unatarajiwa kwenda kupimwa anus, ama la toa pesa fulani, utatoa au hautatoa? yaani mwanaume mwenzio anaenda kukuvua suruali na kuangalia anus yako, ndio walichofanya kina sabaya na makonda hayo. na wamepiga pesa sana chafu kama izo.
Stop wasting your time on zombies wao washajiwekea an idea basi km uyo Mungu wao ambao hawajawahi kumuona so hao ni Km wanyama pori tu you either flee or shot them Hamna tena cha kuwaelimisha. So stop wasting too much energy and words kwa hawa wanyama pori
 
NInapinga ushoga kwa nguvu zote. ila ninachofikiri iwe uthibitisho mimi kama mwanasheria, ni mtu akutwe anafanya au aconfess kufanya au ushahidi mwingine wowote ule ambao ukipelekwa mbele ya Mahakama unaweza kudraw inference kuwa kitu hicho kipo. Hatari ninayoiona kwenye utaratibu huu ni kwamba, mtu hatakiwi kulazimishwa na Mahakama kupimwa, wasijejitokeza watu wa aina ya Makonda waliokuwa wanalazimisha mtu anapimwa mkojo, hadi kina mbowe, manji na watu wengi tu na heshima zao (tundu lisu aliponea chupuchupu kupimwa kojo), wanaweza kutumia nafasi hiyo kuaibisha wabaya wao.

inatokea tu mtu anakukuta sehemu anakwambia twende ukapimwe nyuma, just like that, hata kama mahakama imeamuru hivyo, si tunajiaibisha kwenye utawala wa sheria aisee na tunawapatia hawa jamaa nafasi za kuongea na kutetewa na wazungu. wazungu wakisikia hili watakuja kwa hasira sana na vita yetu tutakuwa tumeirudisha nyuma sisi wenyewe.

kinachotakiwa kufanywa, ni mtu akikamatwa, kama wale wa mbeya, mtwara na kwengine ambao walikamatwa na kufunguliwa charge, wakafika mahakamani wakasomewa shitaka wakakubali kosa, wakafungwa 30. huo ndio utawala wa sheria. ila tukienda hivi nakuambieni watakamata watu wengi sana kwa maslahi hata ya kisiasa na kuwapekua nyuma.
Kazi kweli kweli
 
Nazani inatakiwa iwepo na fidia ya kuwalipa ikitokea ikawa kinyume cha walivyotarajia maana watakuwa wamewafanyia udhalilishaji mkubwa sana.

Ila kuna asilimia chache sana za hawa jamaa kutoka salama especially somebody NOEL.
[emoji16]
 
Back
Top Bottom