Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Hao wapuuzi wafungwe tu miaka 30 maana wanaharibu jamii ,huyo david na yeye apigwe mvua 90.

Hakuna haki za kibinadamu kufanya ufirauni hadharani ,kama wao ni mashoga wafanye kimya kimya huko sirini na si kuleta unyoronyoro mitandaoni.
 
Yule daktari aliyempima afande Rama amejipatia dili lingine [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…