Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
PAPAI LA KICHAGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzazi kazaa mwenyewe kashukuru Mungu kazaa dume la mbegu Baadae Sasa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu tusaidie vizazi vyetuPAPAI LA KICHAGA
View attachment 2594726
Mzazi kazaa mwenyewe kashukuru Mungu kazaa dume la mbegu Baadae Sasa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu tusaidie vizazi vyetu
Yule daktari aliyempima afande Rama amejipatia dili lingine [emoji23]Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
View attachment 2594645
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Kwani kwa kichwa anatoza sh. ngapi?Yule daktari aliyempima afande Rama amejipatia dili lingine [emoji23]
Tutako twenyewe sasa[emoji848]WACHAGA MMEKUAJE TENA
AFU HYO PAPAI NOEL INAPENDA KUBINUA SANA TAKO
Mkuu sheria za Nchi yetu haziruhusu watu kuingiliana kinyume. Usiilaumu Mahakama.This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Hata kama ni kupenda hela...this is too much[emoji848]Tamaa TU
Wanaharibu jamii especially minorsHivi Mtu akiwa choko Mpk ajidhihirishe si wafanywe kimya kimya km kina Fulani
Hao nao wamezidi bwanaaa...yaani hawajifochi ht kidogo kaahh
So sadMzazi kazaa mwenyewe kashukuru Mungu kazaa dume la mbegu Baadae Sasa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu tusaidie vizazi vyetu
Sijui kwakweliKwani kwa kichwa anatoza sh. ngapi?
Mshikaji akidunduliza huenda akajenga bungalow kabisaSijui kwakweli