Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wameleta usagaji pia 😃Exactly maana wao ndio wameleta huu ULIWATWI/USHOGA/UBASHA hawa Viumbe wana laana ya Peke yao☹️☹️☹️
WANAUME ni viumbe wa ajabu mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameleta usagaji pia 😃Exactly maana wao ndio wameleta huu ULIWATWI/USHOGA/UBASHA hawa Viumbe wana laana ya Peke yao☹️☹️☹️
WANAUME ni viumbe wa ajabu mno
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Ripoti ngapi zimepita hazijafanyiwa kazi?. Hi sio ya kwanza. Ila ushoga haukubaliki, tukiuruhusu tu tumekwisha.Serikali wanafanya jambo zuri ila inakuwa sio poa kutumia njia hii kufunika uovu wao.
Yani lengo la serikali ni kuwasahaulisha wenye akili ndogo ripoti ya CAG
Aisee kumbe cocastic soon ataenda kuishi huko Santa Monica awe analeta uzi wa umbea wa kimataifa japo kwa lugha anayoimudu ya kiswahili.Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Thubutuuu....akifikiwa nitamsindikiza kwenye kipimo😁Mwanamke huyo, Serikali haihusiki naye kabisa
Tuwekeeni picha zao tuwaone...Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
View attachment 2594881View attachment 2594882
Choko hiloo achana naoHehe. Team Mange, nasikia anasema ushoga wa mtu nyie unawahusu nini. Cha msingi kila mtu alinde spika zake na za fam yake.
Lakini mnasahau wanavyojihalisha wazi wazi wanaharibu na jamii pia. Kuna wengine wataona ni kitu ya kawaida nao watatest.
Em jiulize angekuwa ni ndugu yako? Ungeiona ni hali ya kawaida? Nadhani jibu ni hapana.
Utaona ni hali ya kawaida kama nawe wanakupumulia.
Jitahidini msilete ushetani wenu hadharani
Kama ni hivyo na wanawake tufutike tu.Wanaume wafutike tu Duniani[emoji849]
Still ni unyanyasajiHatuingizi kidole, tunachungulia tu km utumbo na firigisi vinaonekana dhahiri.
PAPAI LA KICHAGA
View attachment 2594726
Sasa huyo Noeli kuna haja ya kupima rinda kweli?!Mi nazan wangekuwa wanawakamata kimya kimya na kuwapima kimya kimya,ikigundulika hana marinda ndo iwekwe wazi
Kama Ni huyu kijana ndio anakwenda kupimwa usishangae kuambiwa kuwa siyo shogaView attachment 2594756
Kitu gani kinaenda kupimwaKatika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
View attachment 2594881View attachment 2594882
Whichever way ni unyanyasaji tu, na wasagaji wanapimwaje? Kwa kuangalia kisimi au?Ndo kipimo.chenyewe hicho..kwa kawaida mk""ambao haujaingiliwa kidole kidogo hakipiti..
Ni kama kupima tezi dume siku za,nyuma mtu anaingizwa dole na daktari. Ni udhalilishaji halafu taarifa haiwezi kuwa biased ili kumkomoa na ku.chafulia mtu jina? Je kama alibakwa utotoni atalindwa vipi na sheria?Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]