Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Aisee kumbe cocastic soon ataenda kuishi huko Santa Monica awe analeta uzi wa umbea wa kimataifa japo kwa lugha anayoimudu ya kiswahili.
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Tuwekeeni picha zao tuwaone...
 
Hehe. Team Mange, nasikia anasema ushoga wa mtu nyie unawahusu nini. Cha msingi kila mtu alinde spika zake na za fam yake.

Lakini mnasahau wanavyojihalisha wazi wazi wanaharibu na jamii pia. Kuna wengine wataona ni kitu ya kawaida nao watatest.

Em jiulize angekuwa ni ndugu yako? Ungeiona ni hali ya kawaida? Nadhani jibu ni hapana.
Utaona ni hali ya kawaida kama nawe wanakupumulia.

Jitahidini msilete ushetani wenu hadharani
Choko hiloo achana nao
Mange nae mwehu anatafuta tiketi ya kuendelea kuishi US
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Kitu gani kinaenda kupimwa
 
Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kama kupima tezi dume siku za,nyuma mtu anaingizwa dole na daktari. Ni udhalilishaji halafu taarifa haiwezi kuwa biased ili kumkomoa na ku.chafulia mtu jina? Je kama alibakwa utotoni atalindwa vipi na sheria?
 
Back
Top Bottom