Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

.
3F255AD3-61CE-4E66-864C-00D2659259F1.png
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Ndio akina nani hao huko darisalamu
 
Mtoa mada edit hapo kwenye uzi wako kua WAMEACHIWA HURU, na mpaka sasa Tz imechachafuliwa kidemokrasia royal tour itakua bure kabisa, hii mihemko ya kijinga imemponza mama yenu sijui ataupiga mwingi wapi tena [emoji3]
Huyu mama kawa mjinga sana.

Tutamripoti kwa mabosi zake wamshughulikie kiuchumi mpaka anyooke.

Na lile shungi lake akikosa mapesa ya kuendesha nchi na kula kuku lazima aungame!

Famasiala na DONA KANTRE! Na venye anapenda MIKOPO!
 
Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Papa kaisha sema mashoga waachwe hiyo sheria aitadumu
 
Hii ni nchi ya wapumbavu,
Tuliwaambia hili ni lengo madhubuti la kuwachota akili liliandaliwa na serikali ili msiendelee kuhoji vitu vya muhimu
Huu upumabvu uliandaliwa kabla ya ripoti ya CAG, sasa mmeingia cha kike.....
Kaeni mkao wa kula ili mliwe vichwa.....
Wewe alie kuzuiya usioji nani?kwa serikali kazi yake 1 tu [emoji24]
 
Back
Top Bottom