Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nataka hadi tuwekewe vikwazo halafu hao wanaojifanya wanaweza kusurvive bila wazungu waonje uhalisia,Huyu mama kawa mjinga sana.
Tutamripoti kwa mabosi zake wamshughulikie kiuchumi mpaka anyooke.
Na lile shungi lake akikosa mapesa ya kuendesha nchi na kula kuku lazima aungame!
Famasiala na DONA KANTRE! Na venye anapenda MIKOPO!
Mu7 nasikia kataka sheria ipitiwe upya kagoma kusaini, anaona noma kusema ameshindwa [emoji3]
Ruto Ikulu imekua chungu anatamani afute kauli yake ila anaona noma,
Kagame anawacheka ki tutsi tu [emoji3]