Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Huyu mama kawa mjinga sana.

Tutamripoti kwa mabosi zake wamshughulikie kiuchumi mpaka anyooke.

Na lile shungi lake akikosa mapesa ya kuendesha nchi na kula kuku lazima aungame!

Famasiala na DONA KANTRE! Na venye anapenda MIKOPO!
Nataka hadi tuwekewe vikwazo halafu hao wanaojifanya wanaweza kusurvive bila wazungu waonje uhalisia,

Mu7 nasikia kataka sheria ipitiwe upya kagoma kusaini, anaona noma kusema ameshindwa [emoji3]

Ruto Ikulu imekua chungu anatamani afute kauli yake ila anaona noma,

Kagame anawacheka ki tutsi tu [emoji3]
 
Mtoa mada edit hapo kwenye uzi wako kua WAMEACHIWA HURU, na mpaka sasa Tz imechachafuliwa kidemokrasia royal tour itakua bure kabisa, hii mihemko ya kijinga imemponza mama yenu sijui ataupiga mwingi wapi tena [emoji3]
Nmeamini wengi wanaunga mkono ushoga au kuingia kwenye uchoko Kwa tamaa ya vipande vya fedha.
 
Kwenye hicho ulichoweka kinasema wazi kuwa ubaguzi dhidi ya "sexual orientation" uko chini ya " other status " au " sex" lakini unasema hamna ishu ya "sexual orientation". Wakati mwingine mnajitafutia wenyewe kutukanwa kwa kuitwa vilaza.

Amandla...
wewe mburura, maana ya sex walivyoongea hapo ni jinsia, mwanaume na mwanamke. sexual orientation ndio ushoga na haipo kwenye hiyo document. Tanzania haijawahi kukubali mkataba wowote unaosapoti mashoga.
 
Nazani inatakiwa iwepo na fidia ya kuwalipa ikitokea ikawa kinyume cha walivyotarajia maana watakuwa wamewafanyia udhalilishaji mkubwa sana.

Ila kuna asilimia chache sana za hawa jamaa kutoka salama especially somebody NOEL.
[emoji16]
huu ugonjwa tumeulea sisi wenyewe watanzania. hawa watu walikuwa wanafanya polepole hadi ikafika kipindi wakawa wazi na kuna watu wanawasapoti kabisa.
 
Hapa ukiwa na bifu na mtu unaongea na polisi unamsingizia ushoga. Kutangaza tu kesi yake na kwenda kupimwa ni pigo tosha sana.
It seems hawa wamekamatwa sehemu moja wakifanya jambo linalotia mashaka.

Ukisikiliza ile clip ya kina mwakyembe yule dada alisema wanamfatilia raiya wa kimarekani anayeishi na mapusti wawili na ndiye alikua ameshutumiwa kugawa zawadi kwa madereva wa bajaji na kuwaingilia, so ninahisi huyu mzungu na hao mapusti wawili ndiyo hawa walikamatwa.
 
wewe mburura, maana ya sex walivyoongea hapo ni jinsia, mwanaume na mwanamke. sexual orientation ndio ushoga na haipo kwenye hiyo document. Tanzania haijawahi kukubali mkataba wowote unaosapoti mashoga.
Samia anajua kuliko wewe.

Ndio maana serikali ilitoa tamko la kuheshimu mashoga mnamo mwaka 2018.

Wewe guluguja unataka kubishana na samia?

Cc: dronedrake
 
Nataka hadi tuwekewe vikwazo halafu hao wanaojifanya wanaweza kusurvive bila wazungu waonje uhalisia
Hawa nyumbu hawana ubavu wa kuishi bila mikopo na msaada wa wazungu.

Watanunua kilo moja ya mchele kwa elfu sabini. Lazima wanyooke kama rula.

Ndio maana samia anapigana VITA ZA UVUNGUNI. Anachungulia kwenye tobo huku anarusha mishale kwa kunyatia.

Kama ana nia ya dhati ya kupigana na ushoga atunge sheria ya kuwanyonga WASAGAJI na MASHOGA! THUBUTU YAKEE!

Famasiala na MABEBERU. Ni lazima unyooke mpaka shungi lianguke chini.

Amejibanza kwenye visheria vya kikoloni vya kuwapima watu mapuru. Hana lolote.
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Ila hawa wana mitindo sijui kwanini asilimia kubwa ni mashoga au wasagaji, si hapa TZ tu bali hata huko majuu kuna vizee vyinavyomiliki makampuni makubwa ya mitindo ya mavazi ni vishoga au visagaji, hata hapa TZ pia imekuwa hivyo hivyo na tena waziwazi kama huyu kijana wa kihindi mbunifu wa mavazi anayenyoa kiduku hakika huyu huulizi tabia zake na matendo yake yapo dhahiri na wana klabu yao inaitwa karakana huko mitaa ya ushuani ni kama ndio kituo chao.
 
Hawa nyumbu hawana ubavu wa kuishi bila mikopo na msaada wa wazungu.

Watanunua kilo moja ya mchele kwa elfu sabini. Lazima wanyooke kama rula.

Ndio maana samia anapigana VITA ZA UVUNGUNI. Anachungulia kwenye tobo huku anarusha mishale kwa kunyatia.

Kama ana nia ya dhati ya kupigana na ushoga atunge sheria ya kuwanyonga WASAGAJI na MASHOGA! THUBUTU YAKEE!

Famasiala na MABEBERU. Ni lazima unyooke mpaka shungi lianguke chini.

Amejibanza kwenye visheria vya kikoloni vya kuwapima watu mapuru. Hana lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo hua nayapenda mimi, Samia ajitafakari ana safari ndefu sana hao machawa wake wasimpotoshe atakuja kupata presha vikwazo vikiwekwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo hua nayapenda mimi, Samia ajitafakari ana safari ndefu sana hao machawa wake wasimpotoshe atakuja kupata presha vikwazo vikiwekwa.
Hawa machawa si wanataka msosi tu, wako tayari kumpampu maza afanye lolote ilimradi wapate chakula.

Hata hili pia maza kajiingiza kishingo upande huku ananyatia na kupima upepo.

Nashauri mabeberu yambinye kidogo ili aache kufanya majaribio kwenye maisha ya watu.

Samia mwenyewe mchafu tu vile vile, tunamsitiri tu kuweka mapicha yake akiwa na wanaume huko wanamshika shika.
 
Back
Top Bottom