Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

Mbowe ndiyo sababu alikigeuza chama kuwa danguro na sakosi pia kwenye msafara wa kupigania haki ogopa sana kuwashirikisha waislamu
Kwenye nchi kama hii, utawezaje "kutowashirikisha waislam", wakati sheria inayotakiwa kwa kila chama ni kuwa na wanachama toka Zanzibar, ambako huwezi kuwapata wanachama wakristo. Sheria hii italazimu ifanyiwe marekebisho; vinginevyo hiki ni kitanzi kwa vyama vya siasa vinavyo shindana na CCM.

CCM siku zote itakuwa na nafasi ya kuwaingiza mamluki wake tokea huko Zanzibar.

Vile vile, ngoja nikupashe habari kama ulikuwa hujui. Unajuwa sasa hivi CCM ipo chini ya Bakwata?
 
..watawapatia vipi wakati Mahakama imesitisha shughuli zote za chama, na katibu mkuu, na sekretariat, hawaruhusiwi kuingia katika ofisi za chama?
Itabidi waombe ruhusa ya mahakama kuingia ofisini?
 
Mkuu 'Matrix19',moja ya hatari kubwa kabisa inayo kikabili chama ni Samia kubaki madarakani miaka mitano ijayo.
Samia atapita na kuondoka alikuwepo Magufuli aliyesema angekifuta kabisa ila hakufanikiwa chama miaka 5 kilipata mbunge mmoja ila ndio bado kiko katika fikra za watu na hata bado hao wakoloni weusi wanahaha.
CHADEMA Mpya, kama ilivyo chini ya uongozi wa sasa; kamwe Samia hawezi kuvumilia hali hiyo.
CHADEMA mpya ilizaliwa January 21 mwaka huu ndio maana unaona kuna watu wakaamua kukaaa pembeni maana wasingeweza kuishi katika falsafa mpya ya siasa za upinzani wa kweli bila udalali.
Nionavyo; kesi kama hii iliyo undwa mahsusi kuifunga CHADEMA itaendelea muda wote huo; au kutazushwa mbinu nyingi nyingine za kuimaliza CHADEMA.

Samia hana subira, uwezo hata uvumilivu wa kutawala nchi kukiwa na chama ambacho hana uwezo wa kuhonga au kuwaweka karibu viongozi wake kama alivyo fanya na Mbowe.

Bahati ya CHADEMA itakuwa ni moja tu, Samia na Genge lake wasipewe nafasi ya kubaki kwenye madaraka baada ya Oktoba 29.
Na mbinu mojawapo ni wasifanye shughuli za kisiasa wakiamini wanaipotezea "coverage" , ila CCM wanasahau hata magazeti saa hizi yamepunguza uzalishaji wa nakala ngumu na kuhamia nakala tepe e-newspaper hivyo mitandao ina nguvu hata CHADEMA wasipofanya mikutano kuna mitandao hivyo na ufikiaji wa watu utafika hata wakizuiwa kufanya mikutano.
 
Serikali inatumia nguvu kuibomoa chadema but chadema sio Majengo ni watu mnapoteza mda aya ndo yanaongeza chuki mnakosea
 
Kataeni vyama tuanzishe majeshi kupinga ujinga huu.

chama bila jeshi mtapigwa kila siku.

MAkamanda mnaoogopa vita, makamanda mnaotaka siasa, makamanda mnaopenda amani.

Mtangoja sana.
 
Huyu Jaji mbona ni kama ameshawahukumu CHADEMA.. Mh Jaji hata kama una maelekezo ila changanya na zako!
 
Chadema wapeni hao wapuuzi mali wanazotaka au itisheni uchaguzi upya na muwapige chini na kuwatimua uanachama, hili sisi tuanze kuchangia upya na tutatoboa. Tunajua Freeman yuko nyuma ya huu upuuzi.
Nimewaza kama wewe huyu Jaji Mwanga anamaelekezo yote kutoka kwa Mama Samia na Mbowe .Huyu Jaji huwezi kutenda haki hata siku moja

NI HIVI VIONGOZI WA CHADEMA WA SASA WASIPOTEZE MUDA KWENDA MAHAKAMANI TENA WAWAPE TU USHIRIKIANO WA FANYE WANAYOHITAJI
 
Kwenye nchi kama hii, utawezaje "kutowashirikisha waislam", wakati sheria inayotakiwa kwa kila chama ni kuwa na wanachama toka Zanzibar, ambako huwezi kuwapata wanachama wakristo. Sheria hii italazimu ifanyiwe marekebisho; vinginevyo hiki ni kitanzi kwa vyama vya siasa vinavyo shindana na CCM.

CCM siku zote itakuwa na nafasi ya kuwaingiza mamluki wake tokea huko Zanzibar.

Vile vile, ngoja nikupashe habari kama ulikuwa hujui. Unajuwa sasa hivi CCM ipo chini ya Bakwata?
Mbona rahisi tu ...tatizo ni Akili ...mfano kuna makosa mengi sana yanafanywa na upinzani wa tz ndiyo maana ccm inanguvu za kulinajisi taifa ....mfano tukio la kuvunjika chama cha CUF ilitakiwa maalimu sefu aungane na chadema siyo chama cha zitto kwa sababu chama kitakacho kuwa bora ni kile chenye kukubali ndani yake kuwa wazanzibar awataki muungano huu wa kihuni na wabara awataki muungano huu wa kihuni hivyo mkiungana mnao chukiana nia yenu itakuwa moja ni kuakikisha mnazitoa nchi kwenye muungano wa kihuni.
 
Mbowe ndiyo sababu alikigeuza chama kuwa danguro na sakosi pia kwenye msafara wa kupigania haki ogopa sana kuwashirikisha waislamu
Una chuki dhidi ya Uislamu mpk umepoteza nuru
 
Una chuki dhidi ya Uislamu mpk umepoteza nuru
Siyo chuki ni ukweli.....niliuliza hapa nitajiwe mzalendo mmoja tu muislamu tanzania amjanitajia kwa sababu hayupo ...hata karume wa Zanzibar ni nyerere tu ndiye aliye mshika mikono ....waislamu hata sasa wapo kimya wanaogopa mwanamke samia .....japo wanaona upumbavu anaofanyia taifa ....wapo wapi waislamu wanao jidaigi kuwa mstari wa mbele kuoigsnia taifa
 
Mbona rahisi tu ...tatizo ni Akili ...mfano kuna makosa mengi sana yanafanywa na upinzani wa tz ndiyo maana ccm inanguvu za kulinajisi taifa ....mfano tukio la kuvunjika chama cha CUF ilitakiwa maalimu sefu aungane na chadema siyo chama cha zitto kwa sababu chama kitakacho kuwa bora ni kile chenye kukubali ndani yake kuwa wazanzibar awataki muungano huu wa kihuni na wabara awataki muungano huu wa kihuni hivyo mkiungana mnao chukiana nia yenu itakuwa moja ni kuakikisha mnazitoa nchi kwenye muungano wa kihuni.
Hapa leo umenipoteza. Sijakuelewa. Ni kama haya unayo eleza hapa ni kupingana na ile nadharia yako juu ya hizi imani zetu zinazotuvuruga akili na kusahau kabisa kwamba imani yetu kuu ni uTanzania wetu kabla hizo nyingine zote!
Ni kwa sababu hiyi, Maalim asingeweza kwenda kuungana na CHADEMA na kuwaacha ACT-Wazalendo.

Ni sababu hizo hizo sasa hivi zinazo ifanya "CCM ya BAKWATA" ifanye kila liwezekanalo kuizuia CHADEMA hata kushiriki tu uchaguzi. Kutoyasema haya mambo kwa uwazi wake, ndiko kunakotupeleka huku tulikofikia sasa hivi.
 
Back
Top Bottom