Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Kuwa msema kweli na mwanaharakati, ndivyo inavyoonekana.kuwa wewe ni mhalifuMahakama ziko Kenya za tz ni za hovyo kabisa
Hata Nelson Mandela alisota jela miaka 24 bila ya hatia yoyote!
Baadaye alipotoka Jela, akawa ndiye Rais wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuongoza Taifa hilo kubwa la Afrika Kusini
Hivi hawa Jeshi la Polisi na hizi Mahakama za Profesa Juma, wanasahau haraka hivi, hizi Historia??😳