Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Haki inatakiwa ionekane imetendeka. Hivi unadhani mahakama kumpa uenyekiti Lipumba kwa kutegemea tu barua ya msajili na kuacha Katiba ya CUF pembeni iliyo wazi kabisa ndio haki hio? Sio tu maamuzi ya mahakama lkn yawe maamuzi ya haki.
 
Kesi miaka 2. Sasa huyu anakuwa diwan 4 how long?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi Kuwa Diwani Mpaka Uchaguzi Ufanyike, Maana Mahakama Imetengua Ushindi Wa Diwani Wa Ccm Na.Sio Kwamba Mahakama Imemtangaz Mgombea Udiwani Wa Cdm. Mahakama Haina Mamlaka Ya Kumtangaza Mtu Mshindi Wakati Hiyo Mtu Hajawai Kutangazwa Na Tume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hi si uthibitisho tosha kwamba hakuna tume bali kigenge Cha watu waliowekwa na bwana kwa maslahi yao tu huku wakitumia na kuhujumu pesa za walipa kodi za wananchi wanyonge? Sasa Kuna haja gani ya kuwa na uchaguzi na alieshindwa ndie anatangazwa mshindi? Si ni heri tu wenye maguvu ya kutawala wateue tu watawala chini ya usimamizi wa RC, DC na Ma DAS chini ya ulinzi wa jeshi la polisi tukaepuka gharama na vipigo kwa wanyonge.

hahahahaaa wawe wanateuana tu. Yaishe
 
Ila huyu Hakimu 🤣🤣🤣 aangalie Sana maana Tena mh yupo maeneo karibu Sana kwa Hiyo ,😁😁😁 isije Anza fumua fumua hapo😂😂😂 Maana Kuna maeneo mengi TU ambayo Ccm huwekewa ushindi mezan
 
Kumbe mahakama zipo huru na zinatenda haki?

Siyo mahakama bali baadhi ya majaji na mahakimu. Siku zote watu waadilifu, wenye haya, utu na conscince watakuwepo duniani. Majaji wawili; Arusha na Dar wamethibitisha hili kwa kutoa kauli na hukumu ambazo dhahiri zinaonyesha kuwa mahakama imeingiliwa vibaya sana. Wamekemea "prostituting" of the law. Some people at the top have simply ceased to be rational anymore.
 
Back
Top Bottom