Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Nafurahi kumuona Mwalimu wangu C.K.K Morris katika ubora wake!
 
Sasa mleta mada hizi nakala si kashaweka huko juu?!?! We vipi?!?! Fungua uzi wako acha ushamba!
Umejiunga JF lini? Hizo unazoona huko juu, bila mimi kutuma zisingepanda, mods wamerekebisha uzi, mtoa mada hakuweka wala hakutaka kuweka na alisema kwa maneno yake, fatilia uzi, mimi nikazileta. Mshamba mama yko.
 
Pamoja na kujitapa kununua magari ya kifahari na lingine akamuhonga yule bibi malaya lakini milioni 100+ ameshindwa kulipa 🤔🤔 wasanii wa bongo wengi njaa kali sana ni sifa tuu zina wafichia aibu
Shida yeye ana njaa pia meneja wake jembe nae njaa,alimtoa wasafi ampige pesa zake...jembe kabaki kumtafutia show za ccm na yanga hana jipya
 
Naona afua ya akili ya kijana wetu inaenda kupigika soon

Nifah, naomba uendelee kutupatia updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…