DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kweli kabisa. Alikuwa juu Sana akashindwa kujijenga kiuchumi.
Ila nilimsikia akisema matumizi ya pombe yalimnyima utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa. Alikuwa juu Sana akashindwa kujijenga kiuchumi.
Wow!...Mama ana pesa eeeeh?Ila kwa kuwa mama anamuelewa sana, atamlipia
Umesahau skendo ya manwater akimdai , kiba pesa za sessions za studioMsanii mwenye pesa hapa Bongo ni KingKiba mwamba sijawahi kbs kusikia ameshindwa kulipa pesa au hata kusikia sjui kamdhulumu raia
Thubutu...... mikwara tu Ile..Si kuna kipindi Dk. Bashiru alisema ccm haitatumia tena wasanii, itatumia bendi yake ya TOT.
Bahati nzuri bado anakipaji na muda wa kujirekebishaIla nilimsikia akisema matumizi ya pombe yalimnyima utulivu
Ooh kweli ila waachage ujeuri bana kudhulumiana sio poa.Umesahau skendo ya manwater akimdai , kiba pesa za sessions za studio
YUpo face book anajita hadithi tamu anapage yake ndio kapostw
Nilijua tu, huyo mjinga kachukua hapa kaenda kubadilisha maneno machache.
Leta full screenshot tuone kapost lini, asante.
Uko popular ? Wanakujua mtandaoni?
Oh nineona mtu kaandika umeachana na hammer au black or something. I thought you are famousHapana.
Baharesa!Jeshiii