Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

Mzee Hata nilipokua nasoma Azania tulikua tunajiita USA(United Students of Azania).
Mzee wa USA samahani kidogo, hivi waandishi wanaitwa Judiciary Journalism au Judiciary Journalists, samahani lakini kukuuliza maana nyie wenzetu mmeishi sana huko na ndio lugha zenu hizi. Sisi tunababia babia tu
 
Hizi ruling za kisiasa zote huandikwa na Jaji Kiongozi Eleazer Feleshi kisha Ma RMs wa Kisutu hupewa tu kuzisoma. Iwe ile hukumu ya Viongozi 9 wa CDM au hii ya ZZK ukiangalia proceedings zote za kesi huoni connection kati ya hukumu na ushahidi. Unachokiana ni connection tuhuma kwenda kwenye hukumu tu. Jaji Kiongozi anajuwa anatekeleza maagizo ya aliyemtuma.

Zote hizi ni kielelezo cha insurbodination of the judiciary
 
Mwenye ule uzi Zitto alizusha eti kuna maiti zaidi ya 100 pale uvinza atuwekee
 
Okay.kwahiyo baada ya mwaka mmoja kupita atakuwa huru kutoa maneno ya uchochezi.wanasheria mtusaidie kwa hili
 
Burden of proof hapo iko kwa DPP na siyo zito
 
Maana yake baada ya mwaka mmoja Zitto anaweza kutoa matamko ya uchochezi.
 
Huyo kahitimu miaka mingi iliyopta so hko ndio kibarua chake cha mwanzo kukipata kitaa kigumu ndugu.
Natamani nikuone live siku moja, tugonge beer hua unanifurahisha sana vile unavyokua wa kwanza kwanza kwenye posts za siasa na vile unavyochangia licha ya kushambuliwa wewe unakuaga cool lakini huachi kujibu.
 
Zitto sasa hivi yuko naye hapa Bahari beach tunapiga story wewe baki na roho mbaya yako kama nyoka wa kijani.
 
Leo ni msiba mkubwa kwa vijana wa lumumba maana walikuwa wanaombea Zitto apigwe mvua za kutosha.
Tulisema tukabezwa sana kuwa hakuna kesi hapo na hatafungwa

Jr[emoji769]
 
Hachelewi kuanza kubaguana wapinzani kwa wapinzani.
Zitto sasa ni kazi moja tu ni kwenda kuwaunganisha watanzania kudai Tume yao huru ya Uchaguzi.
 
Issue ni kuwa ataweza, maana mwenzetu huyu inaonekana ni addicted kwa maneno ya uchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…