Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sijui chadema wanakwama wapi? Mbona Zzk kachomoa?Update please!.
P
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui chadema wanakwama wapi? Mbona Zzk kachomoa?Update please!.
P
Mzee wa USA samahani kidogo, hivi waandishi wanaitwa Judiciary Journalism au Judiciary Journalists, samahani lakini kukuuliza maana nyie wenzetu mmeishi sana huko na ndio lugha zenu hizi. Sisi tunababia babia tu
Hizi ruling za kisiasa zote huandikwa na Jaji Kiongozi Eleazer Feleshi kisha Ma RMs wa Kisutu hupewa tu kuzisoma. Iwe ile hukumu ya Viongozi 9 wa CDM au hii ya ZZK ukiangalia proceedings zote za kesi huoni connection kati ya hukumu na ushahidi. Unachokiana ni connection tuhuma kwenda kwenye hukumu tu. Jaji Kiongozi anajuwa anatekeleza maagizo ya aliyemtuma.Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Okay.kwahiyo baada ya mwaka mmoja kupita atakuwa huru kutoa maneno ya uchochezi.wanasheria mtusaidie kwa hiliLeo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Burden of proof hapo iko kwa DPP na siyo zitoLeo majira ya saa 2;30 Asubuhi inatarajiwa kusomwa hukumu ya kesi inayomkabili kiongozi wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini ZITTO KABWE ambapo kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia kesi hiyo kwa karibu kuanzia kufunguliwa mashtaka usikilizwaji wa mashahidi hatuna budi kusema nafasi ya ZITTO kuchomoka ni asilimia 5 TU.
Ikumbukwe katika kesi hiyo ZITTO anashtakiwa kwa uchochezi kupitia kauli hii aliyoitoa kwenye mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu ugomvi kati ya jeshi la polisi na jamii ya wafugaji
"Watu ambao walikuwa ni majeruhi katika tukio la mapambano baina ya wananchi na Poilisi, wakiwa wamekwenda hospitali kupata matibabu katika kituo cha afya Nguruka, Polisi wakapata taarifa kuwa kuna watu wanne wamekwenda hospitali kituo cha afya Nguruka kupata matibabu wakawafuata kule wakawaua.
kwa nini sioni ZITTO AKICHOMOKA
Ugumu wa kuthibitisha kisayansi, kifo cha watu hao (wanne) kilisababishwa na Polisi na sio Magonjwa mengine endapo ni kweli watu hao walikufa. Katika utetezi wake ZITTO alikuwa na mlima mkubwa sana wa kudhibitisha kwamba ni kweli hao watu waliuawa na Polisi,. Hapa ili awe salama alihitajika kuleta ushahidi wa kuthibitisha pasi na shaka ambao ni postmortem za maiti unaothibitisha kwamba waliuawa polisi.
ZITTO kwenye hili hana UJANJA zaidi ya KUIOMBA MAHAKAMA MSAMAHA kwamba kama binadamu alipotoka hivyo apunguziwe adhabu. Wapo wanaopenda ZITTO aendelee kubaki uraiani laikini HISIA hazina nafasi dhidi ya SHERIA.
Natamani nikuone live siku moja, tugonge beer hua unanifurahisha sana vile unavyokua wa kwanza kwanza kwenye posts za siasa na vile unavyochangia licha ya kushambuliwa wewe unakuaga cool lakini huachi kujibu.
Kwanza tangu lini mahakama ikamiliki wa waandishi wa habari?
Mahakama, Bunge, polisi vyote ni vyao, acha wafanye wanavyotaka.
Hako kajamaa kapigwe mvua hata 10
Wacha ale mvua ili ajifunze kusema ukweli, mambo ya kutengeneza taifa la waongo ni hatari sana katika mustakabali wa taifa, Kuna mwingine juzi tu kasema eti aliongea uongo juu ya kinana, sasa kama tunatengeneza wanasiasa wa hivi si itakuwa hatari sana?
Aliwahi kutwambia dream liner kuwa ni terrible tins, mara ni nzee, bombadier pia ni nzee, lakini mpaka sasa hajasema tena kama ni terrible pia kama ni nzee au mpya
Mtu wa namna hii ni bora awe jera tu akajifunze ukweli.
Zito oyeeeee
Hongera Zitto... aluta continua
Tulisema tukabezwa sana kuwa hakuna kesi hapo na hatafungwa
Jr[emoji769]
Zitto sasa ni kazi moja tu ni kwenda kuwaunganisha watanzania kudai Tume yao huru ya Uchaguzi.
Tatizo umewahi kutupa taarifa nusu tulia kwanza alafu utuletee taarifa kamili mwandiko sio shida.
Sasa na wewe mbona umeandika comment nusu?Bila shaka uongo haupo ungekuwepo wangemtaka athibitishe, kule kwetu wanasema (gwasinga enyomyo.) Nitarudi kutafsiri.