Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata
Cha moto kakipata, kama ni mtu wa kujifunza atakuwa kaelewa umuhimu wa kuongoza kwa kufuata sheria na taratibu
 
Lengai Ole Sabaya bila shaka angeachiliwa huru tarehe 31 May 2022 kama hukumu yake iliyosomwa 10 June 2022 ingesomwa 31 May 2022.

Hivyo sababu ya Hakimu kuahirisha siku hiyo kusoma hukumu sio kwamba alikuwa na kazi nyingine bali ni ili kupisha na kufanikisha nia ovu ya Kweka na Ndugu zake ili kufungua kesi nyingine dhidi ya Sabaya na wenzake huko Moshi huenda wakiamini watamuumiza kwa urahisi.

Kesi yake ya pili Arusha ilikuwa ya uhujumu Uchumi, na hii ya tatu Moshi chini ya huyo huyo Naibu DPP Kweka bado ni ya uhujumu uchumi. Utafikiri Kweka alipewa hicho cheo ili kumshugulikia Bwana Sabaya.


Hadi sasa hadi kipofu anaweza ona hizi kesi hazina mzingi wowote wa kisheria bali matumizi mabaya ya madaraka anayofanya Kweka ili kutimiza malengo ya Ndugu zake wauza madawa ya kulevya, watengeneza pesa feki, majambazi, wezi wa magari.

Kweka napenda tukueleze kuwa endelea kutumika na hao ndugu zako brother ila utalipia wewe, mkeo, wanao, Wazazi wako, wakwe zako, michepuko yako, kaka na dada zako na hata chawa zako.
Uovu alifanya Sabaya na kuna mahali ataingia tuu. Ni sawala la muda tuu. Stay tuned.
 
Wewe shabiki wa DJ Zero na Wachaga majambazi jueni bado tutawashugulikia.
Kama alishindwa "malaika mkuu" itakuwa nyie kunguni
Tafuta hela ya kula kima Wewe makasiriko na wachaga hayatakusaidia maana hakuna aliyewahi kupambana akashinda
 
kweka na wewe ndio majambazi mapunguani na mahawayani hamna akili kabisa mmejaa ushetani na ukatili waa kiwango cha Hali ya juu sana
Kimada wa Sabaya tulia bwanako anyooshwe, na nje ataishi kama nguruwe pori
 
Wewe chawa masikini tuliza kitundu chako
Mimi chawa wa nani? Wewe unayemtetea huyo bwanako ndio chawa wake.
Tafuta bwana mwingine wa kuendelea kukulea, huyo mbwa bado tunaye sana tu.
Wewe ni mfano halisi kwanini tunapaswa kupiga vita ushoga
 
Mimi chawa wa nani? Wewe unayemtetea huyo bwanako ndio chawa wake.
Tafuta bwana mwingine wa kuendelea kukulea, huyo mbwa bado tunaye sana tu.
Wewe ni mfano halisi kwanini tunapaswa kupiga vita ushoga
kimada wa Mbowe
 
Hata akitoka Jela leo lakini kakaa Mwaka Mmoja Jela marinda yote yamepopolewa na Masela wa Jela,akirudi mtaani Nidhamu itakuwa ya kutosha,hata akiona Kuku atakuwa anatoa Shikamoo!!!
Unataka kusema wote waliokaa jela wametatuliwa marinda?
 
🤣🤣africa jela ni kwa maskin tuu mwenye hela awez kufungwa 🤣Ht akifungwa aifk miez6 utaskia vfungu vmekosewa hpo washapnyezew pesa
 
Back
Top Bottom