Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mizugo tu hiyo huyo ni mtu huru ni suala la muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi za Sabaya ni za kisiasa zaidi kuliko za viongozi wa CHADEMA wanaodai kushitakiwa kwa sababu ya siasa.Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo.
Awali, Mei 31, 2022. Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya kituo cha kazi kwa majukumu mengine.
Sabaya na wenzake walikuwa wakisubiri hukumu hiyo endapo wangeachiwa huru au la, kabla ya kufunguliwa kesi nyingine na wenzake watano ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Juni Mosi, 2022
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Fadhil Mbelwa akiahirisha kesi hiyo Mei 31, 2022 alisema hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo amepangiwa majukumu mengine nje ya kituo cha kazi hivyo hukumu hiyo itatolewa leo.
Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa baada ya kesi hiyo kusikilizwa kwa miezi saba tangu ilipoanza Julai, 2021.
Sabaya alikamatwa Mei 27, 2022, Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam na kufikishwa mahakamani Juni 4, 2021 na kufunguliwa kesi mbili tofauti.
Katika kesi ya kwanza walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, hukumu ambayo Mei 6, 2022 ilitenguliwa na Mahakama Kuu na kuwaachia huru baada ya kubaini dosari.
============================
SABAYA NA WENZAKE WAACHIWA HURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake sita waliokuwa wanakabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi.
Mahakama imesema ushahidi uliotolewa na Mashahidi wa upande wa Jamhuri ulikuwa na utata. Pia imeelezwa kuwa Hati ya Mashtaka ilikuwa na mapungufu ya Kisheria.
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Nani atamuua? Mnaona kwamba hawezi kujilinda? Mnatumia akili ndogo sana kitafakari mambo.Sabaya akirudi mtaani watamuua. Nashauri ahame kidogo nchi akapumzike hata Marekani watu wasahau machungu kidogo
You are bigger than this mzee Mshana.Ngoja nikujibu kiungwana kabisa..
Mpaka Wale watanzania kujikusanya leo haikuwa mipango ya siku moja.. Mpaka askari kupelekwa kule halikuwa jambo la dharura
Kama huna akili nyembamba unaweza kujua hilo kwa hakika!
Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai ole sabaya kwa mawakili wa serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali?? Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi

Aibu yako. 😀😀😀😀Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai ole sabaya kwa mawakili wa serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali?? Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi
Wahi sasa kwa mwenyekiti wako pale ufipa ukachukue posho yako ya data, ukichelewa utakuta chawa wenzako washaipitia, maana mko wengi.Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai ole sabaya kwa mawakili wa serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali?? Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi
Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai ole sabaya kwa mawakili wa serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali?? Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi
Tena mmeumia sana kwa Sabaya kushinda kesi bila hata ya msaada wa Serikali.Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai ole sabaya kwa mawakili wa serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali?? Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi
Haiondoi jinai alizofanya bali ni procedural errors/defects tu zilizojitokeza ndo mwanya wa kushinda unapojitokeza.Bavicha wanaumia sana Sabaya kushinda kesi bila mbeleko ya Dpp kama ilivyokuwa kwa Mbowe
Hivi kwa akili yako ndogo kama Mhe Rais Samia angekuwa anaingilia mahakama na kutoa maelekezo ya nini na nani afungwe ama aachiwe huru unadhani Sabaya angetoka? Thubutu!Tena mmeumia sana kwa Sabaya kushinda kesi bila hata ya msaada wa Serikali.
Makonda nae kampiga chini Kubenea ambae ni kada wa Chadema pia.
Mlimani ipi, hiihii iliyoitwa na Prof. Kabudi jalala au kuna nyingine?Sasa wanasheria wengi wa sasa ni vijana na wamesoma vyuo vya mitaani, unategemea nini! Mlimani pale unakuta wamekosa sifa za kwenda lakini vyuo vya mitaani wanaookelewa tena kwa vigelegele ndiyo furaha!