Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata
Ngoja nikujibu kiungwana kabisa..
Mpaka Wale watanzania kujikusanya leo haikuwa mipango ya siku moja.. Mpaka askari kupelekwa kule halikuwa jambo la dharura
Kama huna akili nyembamba unaweza kujua hilo kwa hakika!
Hamuamini kinachotokea! Matamanio yenu hayaendi kama mnavyotaka!

Vipi Mbowe nae kuachiwa ilikuwa ni ili kuzima tukio lipi?

Kwanza hata kama kusingekuwa na tukio la kuzima mngefanya nini?
 
Niliwahi kusema Sabaya na wenzake wataachiwa huru. Baadhi ya watu humu JF walinitukana ssna lakini sasa taratiibu Sabaya anapangua kesi moja baada ya nyingine.

Hili ni pigo kwa wafuasi wa Mbowe maana ndiyo hasa walikuwa wanashabikia sana kukamatwa kwa Sabaya.
 
Kwa hiyo sasa umenielewa? Hayo ya Mbowe ni yako sio yangu ukiweza unaweza kuyatungia mada
 
Hata akitoka Jela leo lakini kakaa Mwaka Mmoja Jela marinda yote yamepopolewa na Masela wa Jela,akirudi mtaani Nidhamu itakuwa ya kutosha,hata akiona Kuku atakuwa anatoa Shikamoo!!!
 
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo.

Awali, Mei 31, 2022. Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya kituo cha kazi kwa majukumu mengine.

Sabaya na wenzake walikuwa wakisubiri hukumu hiyo endapo wangeachiwa huru au la, kabla ya kufunguliwa kesi nyingine na wenzake watano ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Juni Mosi, 2022

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Fadhil Mbelwa akiahirisha kesi hiyo Mei 31, 2022 alisema hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo amepangiwa majukumu mengine nje ya kituo cha kazi hivyo hukumu hiyo itatolewa leo.

Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa baada ya kesi hiyo kusikilizwa kwa miezi saba tangu ilipoanza Julai, 2021.

Sabaya alikamatwa Mei 27, 2022, Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam na kufikishwa mahakamani Juni 4, 2021 na kufunguliwa kesi mbili tofauti.

Katika kesi ya kwanza walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, hukumu ambayo Mei 6, 2022 ilitenguliwa na Mahakama Kuu na kuwaachia huru baada ya kubaini dosari.

============================

SABAYA NA WENZAKE WAACHIWA HURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake sita waliokuwa wanakabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi.

Mahakama imesema ushahidi uliotolewa na Mashahidi wa upande wa Jamhuri ulikuwa na utata. Pia imeelezwa kuwa Hati ya Mashtaka ilikuwa na mapungufu ya Kisheria.

Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
It is awkward for these cases to be entertained by the state; additionally, how possible is it for an individual person filing a case on economic sabotage against another civilian allowed to be tried in a court of law?
Serikali katili sana hii iliyoko madarakani sasa hivi kuliko yoyote iliyowahi kutokea wakijificha kwenye demokrasia na kurubuni wapinzani wa kweli kwamba wanashughulikia waliokuwa wanawabana huko nyuma.
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
Mtani unafeli.
Umesahau nguvu ya ulozi?
 
Mungu ni mwema kila hatua dua kijana mzalendo na mchapakazi leo ameigaragaza mahakama mkoani arusha tunazidi kukuombea tuliowengi ili uwe huru urudi uraiani tujenge nchi.
ARUDI uraiani kujenga Nchi gani??wakati marinda yote masela wamesepa nayo mkunduni limebaki shimo tu
 
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo.

Awali, Mei 31, 2022. Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya kituo cha kazi kwa majukumu mengine.

Sabaya na wenzake walikuwa wakisubiri hukumu hiyo endapo wangeachiwa huru au la, kabla ya kufunguliwa kesi nyingine na wenzake watano ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Juni Mosi, 2022

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Fadhil Mbelwa akiahirisha kesi hiyo Mei 31, 2022 alisema hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo amepangiwa majukumu mengine nje ya kituo cha kazi hivyo hukumu hiyo itatolewa leo.

Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa baada ya kesi hiyo kusikilizwa kwa miezi saba tangu ilipoanza Julai, 2021.

Sabaya alikamatwa Mei 27, 2022, Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam na kufikishwa mahakamani Juni 4, 2021 na kufunguliwa kesi mbili tofauti.

Katika kesi ya kwanza walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, hukumu ambayo Mei 6, 2022 ilitenguliwa na Mahakama Kuu na kuwaachia huru baada ya kubaini dosari.

============================

SABAYA NA WENZAKE WAACHIWA HURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake sita waliokuwa wanakabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi.

Mahakama imesema ushahidi uliotolewa na Mashahidi wa upande wa Jamhuri ulikuwa na utata. Pia imeelezwa kuwa Hati ya Mashtaka ilikuwa na mapungufu ya Kisheria.

Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Hakuna kesi hapo ni unafiki tu. Watatafuta mashitaka meng mno yasiyo na ushahidi lkn Ssbaya atakuwa huru
 
Kwa hiyo sasa umenielewa? Hayo ya Mbowe ni yako sio yangu ukiweza unaweza kuyatungia mada
Hamna kitu pale!

Hii ni mara ya pili anashinda kesi, je ile mara ya kwanza ilikuwa ni ili kuzima tukio gani?

Ni hivi, matamanio yenu kwa sabaya hayatimii ndio hii hamisha hamisha yenu ya magoli
 
ARUDI uraiani kujenga Nchi gani??wakati marinda yote masela wamesepa nayo mkunduni limebaki shimo tu
Hata kwa Mbowe?

[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini machadema mnapenda kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe?
 
Hata akitoka Jela leo lakini kakaa Mwaka Mmoja Jela marinda yote yamepopolewa na Masela wa Jela,akirudi mtaani Nidhamu itakuwa ya kutosha,hata akiona Kuku atakuwa anatoa Shikamoo!!!
Mbowe kaka jela kwa muda gani vile?
 
Niliwahi kusema Sabaya na wenzake wataachiwa huru. Baadhi ya watu humu JF walinitukana ssna lakini sasa taratiibu Sabaya anapangua kesi moja baada ya nyingine.

Hili ni pigo kwa wafuasi wa Mbowe maana ndiyo hasa walikuwa wanashabikia sana kukamatwa kwa Sabaya.
Uzuri Sabaya anapangua kesi mwenyewe siyo kama ile ya Mbowe mpaka abebwe na Dpp
 
Back
Top Bottom