wengi tumeifuatilia sana ile kesi. tumewasikia mashahidi. kina lebabaz walikuwa wanarusha global kile siku. watakuwa wamemtolea wapi katili yule? kwa ushahidi ule?
 
Kuna watu wanaishi hii dunia wakiwa ni watu wenye maana Kwa watu tuu, lakini kwa Mungu ni mashetani wakubwa!

Kwa siasa za kijinga na ushetani Lengai kakaa jela bule tuu na uonezi tupu, kisa siasa!!
Hajakaa bure huyo,na ataendelewa kunganganiwa mpaka atie adabu siku akiwa huru uraiani atawasalimia hadi watoto wadogo shikamoo baba.
 
hizo kesi za michongo huwa zinaishaga hivi hivi.
 
Wananchi wa Arusha wampongeza mwenyekiti.mstaafu wa UVCCM mikoani jump Dr Ole Sabaya kea mafanikio anayopata dhidi ya Kesi zinazomkabili.

Wananchi wamedai kuishinda serikali mahakamani bila DPP kuingilia kati kwa kutokuwa.na nia ya Kesi siyo jambo dogo

Kwa sasa Ole Sabaya ameokoka
 
Tuseme ukweli, hivi mawakili wa serikali tuseme wanashindwa kesi au ni nini tatizo? mfano ni kesi za sabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…