Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

Sasa hapo ushahidi unakuwa upi na shihidi anakuwa nani
 
Ila watu sisi hahah

Wakuu haya mambo mnaunga unga dots kama hivi mbona kama mnawachafua watu?kwamba hapo kusawijika uso dimond alifurahia kuvutwa mbavu na didy?
 
Haa
Nlisikiaga Didy alikuwa anawatibua majitaka wale ambao wanataka Umaarufu...

Alafu mdogo wangu wa Tandale nae naskia alipita kwenye reli za huyu mwambaa sijajua kama hakutatuliwa..majitaka
Hahaha inawezekana maana kijana toka arudi bongo hashikiki na kama alikwenda kwenye ghetto la jamaa...bhaaas kisamvu kilipakuliwa
 
Hata siyo Wanaotaka umaarufu hadi snoop doggy dogg kamfeerah maamaee.
Ebwanaa Eeeee? Hivyo Snoop Doggy Dogg Naye katatuliwa Marinda na Puff Daddy Combos? Hii Habari Mbona Mpya kwangu? Na Sura Yote Mbaya Ile? Hizi habari Wewe Umezisikia Wapi MKUU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…