Mahakama yamuumbua waziri Magufuli na sheria zake za uongo

jamaa alikuwa anasubiri kuwa mkuu ili afanya atakavyo,
kifupi yeye ni zaidi ya sheria, aichokijua haki huw ahaipotei ila ucheleweshwa, nauwakika mwaka atakao toka madarakani kesi za madai zitakuwa nyingi sana!
 
Sio za madai tuu hata za jinai kwa aliyo fanya akiwa bado hajawa Rais.
 
Watanzania tusiosikia la mkuu tumevunjika guu. Wazee kama wakina kingunge, kinana, kikwete na lowasa walisha ona mbali.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Maelezo yako ni mazuri japo marefu sana! Nadhani umekuwa too much negative than reality.... kazi nzuri ya Magufuli hakuna asiyeijua. Unapoponda kiasi hiki hata kama kuna ukweli flani, wewe ndo unaonekana mzushi tu.....
Mpuuzi kweli, ktk nchi km zetu bila kuwaondoa kabisa nchi inakuwa haijadiliki. Huo uzuri wa kazi unapimwa na vigezo gani?Hata ngariba sio km hafanyi kazi nzuri, hata jambazi nae sio kwamba hafanyai kazi nzuri.Kwa akili km zako Jambazi ambaye anaweza kwenda kupora watu na kufanikiwa kwa 100% na kutimiza majukumu yake anaweza nae kuitwa jambazi mzuri sana.Nae anaweza kiri kufanya kazi yake kwa weledi na bidii kubwa sana.Ila SIO KAZI HALALI. Vipimo vyetu hapa ni "sheria zilizopo ndani ya kidemokrasia"
 
Anawaponza sana.....wateule wake akitoka tu asubiri maumivu ya ndugu zake familia jamaa wapwa tutaona watafanyaje!! Bashite Dotto wote hao tutawajibisha!!! Subiria
 
Nimesikia furaha kumsikiliza tena.. yaani bado yuko vile vile na maongezi yake kama enzi hizo. Tabu eeeeh ni awamu hii hawamsifii kwa sababu hao upinzani wanaisoma namba hakuna kupiga madili yasiyo na kichwa wala miguu na pia hawawezi kufuja pesa za wananchi kama kabla. Miaka hiyo humu nilikuwa msomaji zaidi.. eeeeh awamu hii nafatilia mengi kama kawa

Magufuli oyeeeeeeeee
 
Ngoja Magufuli aje akumwagie data zake hapa.

Kwa hilo amechemka. Hana data zzte za kuongea. Rais amekuwa mnafki ndy maana anapendwa na watanzania wengi ambao uwezo wao wa kufikiria na kuchanganua mambo kuwa butu. Watanzania wengi ambao hawajaenda shule vilaza ndy wanamuelewa huyu jamaa lakini Watanzania wasomi hatumuelewi huyu jamaaa hata kidogo kwanza ni mnafki wa kutupa. Ahadi nyingi ameahidi lakini hakuna cha maana alichokifanya yeye visasi tu kila kukicha. We educated hate his poor system of administration hakika kwa Mungu kesho analo la kujibu. "Ukurupukaji nao Jipu" Hate him badly......God help us we are perishing by this dictatorship kind of govnt.........[emoji482][emoji379]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maelezo yako ni mazuri japo marefu sana! Nadhani umekuwa too much negative than reality.... kazi nzuri ya Magufuli hakuna asiyeijua. Unapoponda kiasi hiki hata kama kuna ukweli flani, wewe ndo unaonekana mzushi tu.....
Maelezo ni marefu ili kujenga hoja kwa ushahidi. Ni sawa ili kujenga uelewa kwa msomaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ishu ya Nyumba za Mbezi ni ya toka kitambo, sikujua hili
Mhenga mwenzangu,

Hili jambo watu wanalichukulia kiushabiki sana badala ya kutafakari hoja ya msingi, bila kusoma na kutafakari sheria zinasemaje!

Nimesoma Act zote za Tanzania Highway Ordinance na Road Reserve 1932, 1967, 1969, 2007 na sub ya 2009: Kifupi pamoja na sheria kutamka highway na kuweka mipaka, Waziri ana mamlaka na say kubwa sana kisheria ya planning, creating, revoking, allowing and stopping!

Katiba yetu inazungumzia sana utu, haki na busara katika maamuzi.

Sheria zinabadilishwa na mwanadamu, hasa pale ambapo zinaonekana zinakandamiza au zitaleta madhara yasiyotakikana.

Waziri wa Ujenzi kisheria kama alivyo na uwezo kuwa na uhuru wa kuamua wapi barabara ijengwe,iwe na urefu au upana gani,hali kadhalika ana mamlaka na uwezo wa kubadilisha, kusitisha hata kufuta classification ya barabara.

Waziri ana nguvu na discretion kubwa ambayo wala si kudai ni usimamizi wa sheria "kujenga" pekee, pia kwa maana inampa "will" to decide how he can execute an act au operation!

Leo hii, Waziri ana discretion kusitisha bomoabomoa yote iliyoko Morogoro road, anaweza badilisha sub ya 2009 kuhusu upana wa barabara, anaweza kusema barabara isiwe trunk road ila iwe regional road.

Kama tunajenga Chalinze Superhighway kutoka Kigamboni mpaka Chalinze yenye lane 6 (3 kila direction) na ni toll road ili kupeleka mizigo bandarini na kufika junction ya Chalinze na dry dock mpya pale Chalinze, kwa nini hili eneo la Kimara lijengwe kwa upana wa lane 10?

Nimefanya research ya highway construction duniani... learning upana wa single lane kuwa standard is between 10 to 12 feet (Sheria za Tanzania ni 3.25 meters, about 10 feet) and si kwa ajili ya urembo tuu, bali ni factors kama safety na speed play part! Nikiwa very generous kusema tujenge 4 lane (8 lane total) road each lane ikiwa ni 4 meters wide (13 feet) with inside na outside curb shoulder of lanes ya 3 meters each (for emergency)...divider ya katikati at 10 meters na 2 meters each side ya mifereji and total road width comes to 58 meters wide...let say we add 16 meters more in the middle kwa mwendo kasi that gives us 74 meters wide... total meaning 37 meters from the center of the road...Hivi 121 meters each side from katikati tunajenga nini?

Je kilio cha wananchi na adha ya kupelekana mahakamani kinaweza kuepukwa kwa Waziri kutumia mamlaka yake kusitisha upanuzi huu na kuokoa gharama kwa wananchi na serikali?

Iweje kuwepo na ung'ang'anizi wa kusimamia sheria ilhali kuna provision ya kubadilisha sheria ikiwa inaonekana inanyang'anya haki na kuwa kero kwa jamii?

Watanabe rudi tuendelee
 
Asante sana Reverend, kiufupi ulichosema ni kwamba bado ipo ndani ya sheria kubadiri mipango ya awali ili kuweza kuaccomodate reality on the ground!. Kiufupi ni sawasawa na chakula kilicho mezani, ni halali kukila kwa mikono, uma na kisu au hata na Vijiti kama vya wachina n.k, ili mradi iwe ni convenient kwa mtu!, Hizo ndizo powers za waziri katika suala la barabara. Sasa ni jukumu kuangalia convenience kwa umma katika kuexercise hizo powers, Kumbe hata waziri husika akiamua kufuata approach hii, bado yupo within the law, sasa kwa nini hawaifuati hii?
 
Kwenye hii thread, nafikiri ni page 1 or 2, kuna link ya hotuba Bungeni aliitoa magu akiwa Waziri... angalia ile temperament, tone na almost rage kuongelea hili... utapata jibu... pilichungulia hii mada imetumwaleo.

Ukweli kuhusu bomoa bomoa ya Kimara hadi Kiluvia
 
Nimesikia furaha kumsikiliza tena.. yaani bado yuko vile vile na maongezi yake kama enzi hizo. Tabu eeeeh ni awamu hii hawamsifii kwa sababu hao upinzani wanaisoma namba hakuna kupiga madili yasiyo na kichwa wala miguu na pia hawawezi kufuja pesa za wananchi kama kabla. Miaka hiyo humu nilikuwa msomaji zaidi.. eeeeh awamu hii nafatilia mengi kama kawa

Magufuli oyeeeeeeeee
We siku akili zikikurudi utakuja kaa kimya kama mwenzio Lizaboni

Lizaboni ushamsikia Tena? Akili ilikuja kumrudi baada ya dishi kuyumba kwa muda mrefu...we nawe ni matter of time tu CCM yako utakuja kuikana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom