Mahakama yamuumbua waziri Magufuli na sheria zake za uongo

Mahakama yamuumbua waziri Magufuli na sheria zake za uongo

We siku akili zikikurudi utakuja kaa kimya kama mwenzio Lizaboni

Lizaboni ushamsikia Tena? Akili ilikuja kumrudi baada ya dishi kuyumba kwa muda mrefu...we nawe ni matter of time tu CCM yako utakuja kuikana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Jione ulivyo kutaka kunioangia cha kuandika humu.. andika yako nami naandika yangu. Hukunileta humu wewe.. kujifanya mjuaji tu.. kama upo CCM kaa ufufahie mwenyewe na usinijazie maneno mimi.. naandika nachojisikia kama mwananchi.. so shika yako.
 
Mhenga mwenzangu,

Hili jambo watu wanalichukulia kiushabiki sana badala ya kutafakari hoja ya msingi, bila kusoma na kutafakari sheria zinasemaje!

Nimesoma Act zote za Tanzania Highway Ordinance na Road Reserve 1932, 1967, 1969, 2007 na sub ya 2009: Kifupi pamoja na sheria kutamka
Wewe unafikiria kama a reasonable well thinking individual.

Huyu bwana aliyechaguliwa na wadanganyika hana sifa ya busara, hekima wala weledi.

Ni mkurupukaji,mpenda sifa na bwana makuu.

Hakuna barabara yenye upana wa mita 240 duniani hata airpot runways upana ni mita 60 tu. Sasa jiulize tunapitisha boeing hapo kimara both lanes au tunapitisha bajaji na vigari vyetu hivi vya kawaida?

Ukitazama kwa jicho pana utagundua hakuna cha maana zaidi ya vendettas
 
Nchi hii inaeleka watu hataki maendeleo, mtu hata ajihidi vipi kuleta maendeleo, bado kuna wengine wanakubeza. Nakumbuka mwanza dar ilikuwa siku tatu leo ni siku moja bado watu hawakubali. Hakuna maendeleo yatakayokuja kwa kuchekeana na kuvunja sheria
Mbaya sana
 

Serikali ilishindwa kesi mahakamani na wananchi wa Morogoro road walistahili kulipwa fidia. Aliyekuwa waziri wa ujenzi wakati kesi inafunguliwa akawa raisi wakati hukumu inatoka, akaamua kuvunja nyumba kibabe. 😀
😀 😀 😀 😀 ☝️ ☝️ . Shikamoo sana Jamii Forums
 
sasa ilikuwaje mkampa Nchi kumbe mambo yalikua kitambo yanajulikana kuwa Azam limecheza.
 
Back
Top Bottom