Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

Tukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.
 
Kibatala ni aina ya wanasheria wa michongo,wao kazi yao ni kutafuta mapungufu ya kisheria ili kumnasua mteja wake kwenye kosa, lakini wakikutana na Mahakimu au Judge anae angalia Kama ya hayo mapungufu yana gusa kiini cha mgogoro,mara nyingi huwa hawaruhusu hayo Mapungufu kuchuka nafasi ya haki!!
 
Acha UONGO,waliomuua Marehemu Msuya walishafungwa Maisha kitambo na hakukuwa na connection yoyote kwamba walitumwa na Mke huyu wa Marehemu Msuya
 
Na nikukumbushe tu kwamba hizo technically unazozizungumzia ndizo huwanasua watu kwendaJela,hii ni kwa sababu kila kitu(taratibu za ufanyaji kazi)iwe kwa Polisi au Mamlaka nyingine ya kiuchunguzi zimeainishwa kwenye vitabu husika mfano PGO kwa Polisi,sasa kitendo cha Askari Polisi kwa mfano kutekeleza majukumu yake bila kufuata maelekezo ya PGO ndio loophole inayotumiwa na kina Kibatala kuwanasua wateja wao
 
Masuala ya sheria ni udwanzi.......
Wanakuhoji kimtego na lazima ujae kwa maana si taaaluma yako.
Nahisi mkemia alikuwa anatetemeka.
Mi nashauri police wapewe elimu ya ukusanyaji hivyo vielezo ili visiwe contaminated, na mkemia apewe elimu ya sharia kidogo, maana haya tumeyaona hata kwa yule profesa alie enda kututetea marekani... Yaani unafanyika mjinga buree😁😁
 
Mi nashauri policies apewe elimu ya ukusanyaji hivyo vielezo ili visiwe contaminated, na mke IA apewe elimu ya sharia kidogo, maana haya tumeyaona hata kwa yule profesa alie enda kututetea marekani... Yaani unafanyika mjinga buree😁😁
INawezekana ila hawataki, kufanya hivyo maanake ni Polisi kuajiri mkemia ( awe police pia ni mkemia).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…