Na siku ya mauaji alikuwa Dar....Dah asa si ipo wazi.......
Mtuhumiwa ni yeye?
Kmmk ataozea jela kumbavu snaa mwanamke aana mirohoo ya ajabu Hadi kuua ndugu kiss Mali HV hajui anaviacha vyote mpjuz snamke kakodi hit squad kaua mme sababu ya Mali
mke kaua tena dada wa mme
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Quran wkt mwingine siyo ya kuiamini sna aise kuna upotishaji mwingi sna humoQuran inasema mkiacha dhambi kubwa basi mwenyezi Mungu atakufutieni dhambi ndogo
Mm naungana. Na wew anyongwe kbsaa [emoji41]Tukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.
Uduwanzi huuKangaroo courts za dunia ya tatu, masikini ya Mungu, hazina uwezo wowote...
Mauaji yalitokea May, 2016
Mshakiwa akakamatwa miezi mitatu baadae, Agosti, 2016
Akasomewa mashtaka, kesi ikaanza
Yuko rumande miaka 9
Kesi inaendelea...
Sahih kbsaa kibatala ni wa mchongo anatafuta kubranda jina lakeKibatala ni aina ya wanasheria wa michongo,wao kazi yao ni kutafuta mapungufu ya kisheria ili kumnasua mteja wake kwenye kosa, lakini wakikutana na Mahakimu au Judge anae angalia Kama ya hayo mapungufu yana gusa kiini cha mgogoro,mara nyingi huwa hawaruhusu hayo Mapungufu kuchuka nafasi ya haki!!
Mkuu, hii campaign yako nimeanza kuielewa kwa mbaaaali.mke kakodi hit squad kaua mme sababu ya Mali
mke kaua tena dada wa mme
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Huo u-Dr wako ulisomea nini??SHERIA ni Taaluma kama Taaluma nyingine,ili aende chooni yeye na Familia yake ni lazima afanye kazi ya Utetezi maana ndicho alichosomea,acha kulaumu taaluma za watu!! Mahakama ni Chombo huru cha kutenda Haki,ndio maana hata ukikutwa ready handed unachinja mtu still lazima upelekwe Mahakamani,hautapelekwa Jela na kufungwa moja kwa moja kisa umekamatwa ready handed!!heshimu taaluma za watuSahih kbsaa kibatala ni wa mchongo anatafuta kubranda jina lake
Mwanmke huyo akiachiwa atakuja kufanya madhara makubwa zaidi ya hapo afungwe
Huyu mama ni mbandidu kitambo roho ngumu sana,mpare wa usangiHuyo mwanamke ni mmachame ? yaani huyo mke wa marehemu
Mume alikua kwa mambo yake na walimwengu...kataa kula ugoro sio mzuri kwa afya ya akilimke kakodi hit squad kaua mme sababu ya Mali
mke kaua tena dada wa mme
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Brother, umezungumza kwa uchungu sana. Ndio nchi zetu hizi sasa tutafanyaje unafikiri?? Inasikitisha sana.Kangaroo courts za dunia ya tatu, masikini ya Mungu, hazina uwezo wowote...
Mauaji yalitokea May, 2016
Mshakiwa akakamatwa miezi mitatu baadae, Agosti, 2016
Akasomewa mashtaka, kesi ikaanza
Yuko rumande miaka 9
Kesi inaendelea...
Hii kesi imekaa sana,huyo revocatus ni mshkaji tulikua tunakutana sana...ndio maza alimtumia kupanga nae hiyo issue,yani huyo mama kaplan yote hayo,kuna ushahidi mwingi sanaHii kesi ukiifuatilia unaona kama watuhumiwa watashinda kesi na kuachiwa huru...
Ushahidi usio na shaka umekuwa ukipelea kwa kiasi kikubwa...
Kizuri kula na ndugu yako. Mkeo muda wowote anaondoka.Inasikitisha sana, ila cha kujifunza; mali za mume, mke na watoto, zinatakiwa kuwa mali zao; na zisiwe mali za ndugu.
Hahahahaaaa umenichekeshaHiyo chupi mpk wataje rangi?
Ukishafikisha miaka 40+ ndugu hawana tija tena kwako, kwa sababu na wao wana familia zao, hawatapoteza muda kwenye harakati zako zaidi ya kutumia hela zako tu.Kizuri kula na ndugu yako. Mkeo muda wowote anaondoka.
Waliomuua erasto walishahukumiwa huyo mama wala hahusiki,shida ilikua ushindani kwenye biashara ya tanzanite...mke yeye kaua shauri ya document ambazo annet alipewa na kaka yake ahifadhi,za shamba 10acre kisongo,plus nyumba baadhiTukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.
Mkuu, umekwisha sema "Ulaya". Africa have its own way of handling issues.Hivi mbona ulaya watuhumiwa hawateswi?
Mchaga wa wapiNi mchaga
Mke wako unaweka guarantee kabisa eti atakuzika? Seriously? Mke? Mtu mmekutana ukubwani tu tena baada ya kuona mambo yako yamenona. Siku ukiwa mkubwa utaelewa umuhimu wa ndugu.Ukishafikisha miaka 40+ ndugu hawana tija tena kwako, kwa sababu na wao wana familia zao, hawatapoteza muda kwenye harakati zako zaidi ya kutumia hela zako tu.
Huu utengano huwezi kuuvunja ''mke/mme+ watoto'' hawa ndio wa kwako wa kufa na kuzikana.
Hakuepo dar,sema alikuepo wiki moja kabla kupanga mchongo,istoshe housegirl wa marehemu,alitoroshwa kabla ya mauaji ma kupewa 10m...yupo kama shahidi na mariam ndio alimpa hizo pesaNa siku ya mauaji alikuwa Dar....
Na inavyosemekana Msuya mali, nyaraka zake nyingi alikuwa anamshirikisha Dada yake Aneth....Sasa inaonekana baada ya kifo cha Msuya ni kama Dada mtu alikuwa anaweka ngumu kwenye mali..
Cc tweenty4seven